Artists News in Tanzania

“Lau Nafasi” ni VideoMpya kutoka kwa mkali wa Kisingeli Man Fongo

Video Mpya ya 2018 kutoka kwa mkali wa Kisingeli Man Fongo ambaye leo January 13, 2018 kaamua kuachia video yake mpya ijulikanayo kwa jina la “Lau Nafasi” .Bofya hapa chini kuitazama vidoe yake. Una comments zozote kama mshabiki wake? Uwanja ni wa kwako.

Comments

comments

Exit mobile version