Msanii Radio afariki dunia

Uganda. Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu Radio amefariki dunia jana alhamisi saa sita asubuhi. Mwandaaji wa matamasha, Balaam Barugahara alimthibitishia mwandishi wa Dailly Monitor kuwa msanii huyo alifariki wakati akiendelea na matibabu hospitalini. Msanii huyo ambaye alikuwa akifanya vizuri na mwenzie Weasel, tangu Januari 23 mwaka huu hali yake ilikuwa mbaya […]
Read More..