-->

Daily Archives: March 6, 2018

Matano (5) Usizozijua Kuhusu Baunsa wa Diam...

Post Image

SUALA ya ulinzi halina mjadala kwa watu maarufu kwani humuweka msanii kwenye nafasi nzuri zaidi ya usalama anapokuwa kwenye shughuli zake za kikazi. Ndiyo maana nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amelitambua hilo na mara zote huwa anaambatana na baunsa wake, Mwarabu Fighter, ‘jitu’ la miraba minne lililojengeka misuli kwa ulinzi anapokuwa kwenye […]

Read More..

Nyimbo nyingine zaidi kufungiwa

Post Image

Siku tano baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha kuchezwa kwa nyimbo 15 zisizokuwa na maadili, zikiwemo mbili za msanii Nassib Abdul maarufu Diamond, Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema hivi karibuni litatoa orodha ya nyimbo nyingine zitakazofungiwa. Akizungumza na MCL Digital leo Machi 5, 2018 katibu mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza, amesema […]

Read More..