-->

Monthly Archives: April 2018

Monalisa kuipeleka tuzo ya APA Bungeni

Post Image

Dar es Salaam. Siku mbili baada ya msanii Yvonne Cherrie ‘Monalisa’, kuibuka msanii bora wa kike katika tuzo za za African Prestigious Awards (APA), anatarajia kuipeleka tuzo hiyo Bungeni kesho. Utoaji wa tuzo hizo ulifanyia Aprili 14, mwaka huu Accra, Ghana ambapo lengo lake ni kutambua maendeleo na tija aliyonayo mtu kwenye nyanja za uongozi, […]

Read More..

Monalisa kuwabwaga kina Lupita Nyong’o?

Post Image

Baada ya muigizaji wa filamu nchini Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ kutajwa kuwania tuzo za The African Prestigious Awards kama Muigizaji bora Afrika huku akitarajiwa kushindana na mastaa wakubwa Afrika amesema hata asipopata tuzo tayari anaamini ni hatua Monalisa amezungumza hayo wakati akikabidhiwa bendera ya Taifa na Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Mh. Harrison Mwakyembe […]

Read More..

Wema, Diamond masaprize kibao

Post Image

JUZI Jumapili wakati watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwenye kona mbalimbali za kula bata, wadau wa Sanaa nchini wakiwemo wasanii wenyewe walikuwa pale Mlimani City, Dar es Salaam, wakifanya yao. Kwa baadhi ya wasanii ilikuwa ni bonge la saprize iliyojaa furaha pale walipotangazwa kuwa washindi kwenye tuzo za filamu za Sinema Zetu International Film Festival […]

Read More..

1