-->

Video: Wema sio wife material, sidhani hata kama anaweza kufua! – RADO

Muigizaji wa filamu, Rado amefunguka kwa kudai kuwa Wema Sepetu sio aina ya wanawake ambao anaweza kuoa kutokana na jinsi alivyo.

Muigizaji huyo ambaye ameigiza filamu moja na Wema Sepetu iitwayo, Madame, amedai mrembo huyo wa filamu ni mlegevu na ni mtu wa kudeka muda wote. 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364