-->

Gigy Money ameripoti BASATA na ni Mjamzito

Baada ya msanii Gigi money kusikia anaitwa na Naibu Waziri wa habari, utamaduni, sanaa za michezo JULIANA SHONZA akaamua kuposti kwa kumjibu naibu waziri na basata

 

Baada ya kauli ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza kumtaka Gigy Money kufika Ofisini kwake  mwenyewe kabla ya Serikali haijamtafuta ,  January 8 2018 nimezinasa Picha 10 za Gigy Money akiingia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) aliwasili na mpenzi wake Mo J, Good News ni kuwa Msanii huyo ni mjamzito

Msanii gigi money aliripoti BASATA na mimba

chanzo: millardayo

 

 

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364