-->

Mafuriko Yasababisha Kufungwa kwa Barabara Dar… Magari ya Mwendokasi Yasitisha Huduma ya Usafiri

Kufuatia kujaa maji juu ya daraja la Mto Msimbazi kwenye Barabara ya Morogoro na kusababishwa kufungwa kwa muda kwa barabara hiyo, Kamapuni inayotoa huduma katika mradi wa Mabasi yaendayo haraka jijini Dra es Salaam, UDA Rapid Transit (UDART) inauarifu umma kuwa huduma za mabasi hayo zimesitishwa kwa muda kuanzia saa 3:00 asubuhi ya Januari 08, 2018.

Mara baada ya hali kutengemaa na mamlaka husika kuruhusu barabara hiyo kuendelea kutumika, huduma zitarejea mara moja. Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza. Deus Bugaywa, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano UDART.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364