-->

Mohammed Dewji kwenye orodha ya Mabillionaire 21 Africa, 2018

Orodha ya Mabillionaire Africa, 2018

Wako wanawake wawili katika matajiri 21 wanaongoza kwa utajiri Africa. Katika orodha ya matajiri 21, Mtanzania Dewji yuko  kwenye nafasi ya 17.  Dangote akishika nafasi ya kwanza.

Dangote anaongoza kwa  $12.2 B.

Aliko Dangote

 

Mtanzania pekee kwenye orodha hiyo ni 
Mohammed Dewji

na utajiri wake unakadiriwa kuwa dola $1.5 B

 

Wanawakwe pekee kwenye hii list ni

Isabel dos Santos mwenye utajiri unaokadiriwa kufikia dollar $2.7 B na

 


Folorunsho Alakija
utajiri wake unakadiriwa kuwa dola
$1.6 B

Katika orodha ya matajiri 21 , aliye na umri mdogo kuliko wote ni Mohammed Dewji mwenye umri wa mika 42

Source : forbes

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364