Ray “The Greatest” amuandikia mkewe “Sina Cha Kukulipa”
Leo ilikuwa siku ya “Birthday” kwa mtoto wao Vincent Kigosi & Chuchu Hans kutimiza mwaka 1.
Katika maneno mazuri na matamu kwa mwenza wako, msanii huyu Nguli wa Bongo Movies Nd. Vincent Kigosi aka ” Ray The Greatest” kayaandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumwambia mkewe haya
…..Thanks Chuchu Hans Kwa Kunizalia Mtoto Huyu Sina Cha Kukulipa Ila Nachoweza Kukwambia Mungu Wangu Wa Haki Akubariki Sana . HAPPY BIRTHDAY MY SON “. End.
Kwangu mimi nimeguswa sana na haya maneno, tuzidi kuwatia moyo wenza wetu tunapozawadiwa zawadi kubwa kama hii ya mtoto na mengineyo mengi. Hongereni sana Mr & Mrs. Ray
Alimalizia kwenye post yake ya kwenye Instagram ” VOTE FOR ME FOR BEST MALE MOVIE STAR AFRICA”