-->

Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto alivyofika Mahakamani Kisutu leo

February 8, 2018 Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz na Mzazi mwenzie Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza shauri lao la matunzo ya mtoto. Nimekuwekea Video ya Diamond na Hamisa walivyofika Mahakamani

Hatua ya Diamond na Mobetto kufika Mahakamani inatokana na Mobetto kufungua shauri kuhusu matunzo ya mtoto aliyezaa na Diamond.

Awali Mahakama hiyo ilitupilia mbali shauri hilo baada ya Diamond kuwasilisha pingamizi dhidi ya kesi hiyo kuwa imefunguliwa kwa kutumia kifungu ambacho si sahihi.

\

Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto walivyokutana Mahakamani

 

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364