-->

Wolper Awapigia Saluti Wabongo Huko Insta

WOLPER888

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ameonyeshwa kushangazwa na baadhi ya wabongo kwenye mtandao wa instagram kwajinsi wanavyopenda kusukiongeza kwa kile mtu atakachokiandika.

“Some people are just waiting for that sad news about you. May they wait till they perish mtu akifunguka kidogo mnajiongeza namnayoyajua dah kweli waTz insta mzungu alituletea sisi natujipigie makofi kwa hili”.

Wolper aliandika hayo kwenye ukurasa wake mara baada ya kuandika haya;

“Maisha yana mitihani migumu saana wakati mwingine unaweza kujiona umempata kumbe umepatikana. Unaweza hata kukufuru Mungu lakini kuna kale kausemi kanachosema tunajifunza kutokana namakosa me nimeanza kuzingatia misemo baada yakukua mkubwa.
Unaweza ukahsi unaishi na mjusi kumbe unaishi na nyoka mwenye sumu kali akikung’ata auponi ewwwe Mungu nipe nguvu eewe Mungu wangu nitoe upofu eewe Mungu washa taa kwenye giza nene nililopo ili nipate muangaza.”

Baada ya hapo wabongo wakaanza kusema kuwa atakuwa ameshatendwa na mchumba wake ambaye toka mwaka jana aliyemuweka wazi.

 

 

 

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364