-->

Kuna Wakati Nauchukia Umaarufu – Shamsa Ford

Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amefunguka kwa kusema kuwa wakati mwingine anajuta kuwa maarufu.

shamsaford23

Kupiti instagram, Shamsa ameandika.

Umaarufu una raha lakini ubaya wake ukiwa maarufu ni ngumu kumjua mtu anayekupenda kwa dhati kwa sababu wengine wanaweza wakawa wanakufwata kwa ajili ya jina lako ili mradi awe karibu tu na wewe. Umaarufu Ubaya wake unakuwa Huna uhuru wa maisha yako.yaani tena ukiwaendekeza hao binadamu unaweza ukajikuta unaishi kwa matakwa yao which is not good coz mwisho wa siku kila mtu ataiaga dunia na kila nafsi itajitetea kivyake . .kitu kidogo akifanya mtu maarufu kinaweza kikawa kikubwa kuliko akifanya mtu wa kawaida wakati wote ni binadamu. Loh muda mwingine nauchukia umaarufu.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364