Hizi ni baadhi ya picha za staa wa bongo fleva, Diamond Platnumz akiwa pamoja na familia yake,mama yake, mtoto wake (Tiffah) pamoja na mzazi mwenzie (Zari) wakiwa nchini Sweden.
Diamond yupo barani ulaya kwa akifanya show kwenye nchi mbali mbali.
#FromTandaleToTheWorldTour
Comments
comments