-->

Nuh Mziwanda Afunguka Jinsi Alikiba Alivyomliza

Star wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka kuhusiana na ugumu wa harakati za kutaka kufanya collabo na Alikiba kwani zilitaka hadi kumliza.

NUH MZIWANDA78

Akizungumza na Enews Nuh amesema kuwa ilimchukua zaidi ya wiki mbili ili kumpata Kiba kwaajili ya collabo ila walivyokutana tu walipiga kazi na ikawa poa.

Pia Nuh ameweka wazi kuwa amesha sahau mambo ya Shilole huku akikanusha kupotea kwenye game na kusema kuwa amepotea instagram, ila sio kwenye game.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364