-->

Wanamuziki wa Bongo Wafanya Semina

WASANII wa bongo

Baadhi ya Wanamziki Wakiwa Kwenye Semina

Wanamuziki wa Bongo flava, Dansi na Taarab leo wanafanya semina ya kujadili juu ya ubora wa kazi zao za muziki (mastering) ili uweze kufanana na miziki mingine ya nje ya Tanzania, mdau mkubwa wa muziki Bongo Babu Tale alifungua semina hiyo kwa kuongelea suala hilo kwa undani zaidi juu ya Wanamuziki wa Bongo kujijenga vizuri ili ngoma wanazozitoa ziwezwe kupenyaa kila kona ya dunia kutokana na kiwango kufanana na miziki mingine, hivyo semina hii ni kujadili na kufanya maamuzi makubwa kutokana na kasi ya muziki unavyoenda kwa sasa.

Cloudsfm.com

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364