-->

Picha: Wema azindua ‘Mobile Aplication’ yake, Habari Zake Zitapatikana Humo

wema02

Msanii wema Sepetu akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mobale Aplication yake kwenye hoteli ya Hyyat Regency.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimpongeza msanii  Wema Sepetu mara baada ya kuzindua Mobile Application ya msanii huyo jana.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye pamoja na Miss Tanzania 2006 na Muigizaji maarufu wa Filamu nchini Wema Sepetu wakifunua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa Wema Sepetu Mobile Application ya msanii Wema Sepetu kwenye hoteli ya Hyyat Regency jijini Dar es salaam jana , Katika Aplication hiyo kutapatikana habari mbalimbali za msanii huyo mwigizaji wa filamu pamoja na habari zinazohusu masuala mbalimbali ya kazi zake hii ni kwa mara ya kwanza katika nchi za Afrika Mashariki kwa msanii kuwa na Mobale Aplication yake hivyo msanii mwingine atakayekuja atakuwa anafuata nyayo za Wema Sepetu.

 

wema1

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimpongeza msanii Wema Sepetu mara baada ya kuzindua Mobile Application ya msanii huyo jana.

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364