Lady Jaydee Atokelezea Kwenye Jarida la True Love
Muimbaji nguli wa muziki Tanzania, Lady Jaydee amekava jarida maarufu la wanawake, mahusiano, maisha na mitindo, True Love la Kenya.
Jarida hilo hupatikana Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda.
Kwenye jarida hilo la mwezi huu, Jaydee amefunguka kuhusu sababu za kuachana na mume wake, Gardiner G Habash, kutamani kwake kufanya kazi na Usher na kwanini hawezi kujichubua.
Bongo5