-->

Faiza Awachanganya Mashabiki Hukuhu Kifo

MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amewachanganya mashabiki wake baada ya kuandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kudai kwamba amefariki.

Faiza Ally

Faiza Ally

Hata hivyo, msanii huyo amesema kuwa aliandika hivyo kutokana na kuchukizwa na waongozaji wa filamu yake mpya ambao wanachelewesha kufanya kazi hiyo.

“Sikuona kama ni tatizo kuandika hivyo na baadaye ndugu na jamaa wakajua kama ni mzima, ila niliamua kufanya hivyo,” aliandika Faiza.

Hata hivyo, mashabiki wamemtupia lawama msanii huyo kwa kuwashtua na ujumbe huo wengi wao wakimshambulia kwa maneno makali.

Mtanzania

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364