-->

‘Latifa Mwehu’ Kuingia sokoni Jumatatu

Latifa Mwehu ni filamu inayowakutanisha wakali wa Bongo Movie, Aunt Ezekei, Stanley Nsungu, Swebe,Tea,Maya na Haji Adam itakayoingia sokoni jumatatu ya wiki ijayo.

Sikuwahi kuwaza hata siku moja kama maisha yatakuja nibadilikia hivi,Nilijua kuoa ndio nia ya kuondoa maovu niliyopiti kumbe ndio kwanza nilimfungulia shetani njia ya kunishawishi zaidi .Pole sana mke wangu maana sikuwahi kuwa mume bora kwako……Ndani ya Latifa Mwehu

Tea na Stanley kwenye moja ya scene

Inasambazwa na Steps entertainment.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364