-->

Video: Harmorapa Aonyesha Mahela Mtandaoni

Msanii wa muziki wa hip hop Harmorapa akiwa bado anaendelea kutrendi katika mitandao ya kijamii, amekuja na mpya kwa kuonyesha mabunda ya hela mtandaoni.

Rapper huyo ambaye anafananishwa na msanii kutoka kundi la WCB Rajab Abdulhan ‘Harmonize’, Jumatano hii zimesambaa picha mtandaoni akionyesha kinachompatia jeuri.

Kwa habari ambazo bado hazijathibitika zinadai kuwa rapa huyo yupo chini ya wafanyabiashara wakubwa jiji Dar es salaam.

Rapper huyo hivi karibuni aliachia wimbo mpya ‘Usigawe Pasi’ akiwa amemshirikisha Em One.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364