Haya Ndiyo Maneno ya Diamond kwenda Kwa Dr. Mwaka
Staa wa Bongo Fleva anayetamba hivi sasa na kibao cha Je Utanipenda, Diamond Platinum amemtakia kheri na Baraka mtaalamu wa dawa za tiba mbadala kwa magonjwa ya kinamama, Dr J J Mwaka wa kituo cha Foreplan Herbal Clinic kutokana na mchango wake kwenye kusaidia mziki wa kibongo.