VIDEO:Watangazaji wa Planet Bongo Wamtolea Povu Diamond, Kisa Kusema Hategemei Redio na TV Pekee
Kwenye kipindi cha planet bongo watangazaji wa Dullar na Juma Junior wametokwa na povu baada kusikia kauli ya msanii Diamond aliyosema sasa hivi akitoa nyimbo hategemei Radio na TV pekee kusambaza mziki wake Bali anatumia mitandao ya kijamii kuhakikisa mziki wake unafika kwa mashabiki kwa ukubwa alionao, tofauti na zamani redio na TV zilikuwa na nguvu kumshusha msanii.
Dullar amesema diamond amekosea kutoa kauli hiyo na ametoa boko na angesema hivo kabla hajawa Diamond wakati anatoa mbagala.
Huku juma junior akisema diamond ametoa kauli ya kijiweni na ya kijinga.
Wasikilize hapa
JF