-->

VIDEO: Bill Nass Afunguka Haya Kuhusu Diamond Platnum

Rapa Bill Nas ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Mazoea’ aliomshirikisha rapa mkongwe katika muziki wa bongo Mwana FA amefunguka na kusema katika mapinduzi ya video za Bongo fleva ambazo zilileta tija katika muziki wetu ipo video ya Diamond.

Bill Nass alisema hayo kupitia kipindi cha Nga’z Kwa Nga’z.

Tazama video hii akinyoosha maelezo.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364