Wasanii wa muziki wa hip hop Young Killer Msodoki, Billnass pamoja na Stamina wameachia video ya wimbo wao mpya wa pamoja uitwao ‘Aje Mwenyewe’.
![](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2017/04/killer.jpg)
Video imeandaliwa na director Lucca kutoka kampuni ya Swahili na audio imeandaliwa na Kiri Rec.
Comments
comments