Picha: Wastara Akifanya Mazoezi Nchini India
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma ambaye yupo nchini India kwa matibabu amebandika picha hizi kwenye ukursa wake mtandaoni akiwa anafanya mazoezi ya kutembea kama anavyonekana hapo chini.