Mbio za Chicago Marathon zilizofanyika nchini Marekani leo hii 8/10/2017 zimemalizika zikiwashirikisha wanariadha 40,800 kutoka nchi mbali mbali duniani akiwemo mshiriki kutoka Tanzania ndugu Alphonce Simbu ambaye alishikiri mashindano hayo makubwa duniani .
Kwa upande wa wanaume Mshindi katika Mashindano hayo alikuwa mwanariadha kutoka Marekani akifuatiwa na wanariadha wawili kutoka Kenya walioshika nafasi ya pili na ya tatu.
Kwa upande wa wanawake mshindi alikuwa mwanariadha kutoka Ethiopia akifuatiwa na mshindi wa pili kutoka Kenya na mshindi wa tatu kutoka Marekani.
Comments
comments