Artists News in Tanzania

Aunt Ang’aka Kisa Ubonge

aunty

Aunt Ezekiel

TAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ameng’aka baada ya baadhi ya mashabiki kumnanga kuwa anaelekea kuzeeka kutokana na kuharibu umbo lake ambapo anaonekana kunenepa kupita kiasi na kuwaambia kuwa mchumba wake, Mose Iyobo ndiye anapaswa kumsema.

Akizungumza na Amani Aunt alisema kuwa, anawashangaa watu wanaombwatukia kuwa amenenepa kupita kiasi wakati Mose anayeishi naye anaonekana kuvutiwa na jinsi alivyo.

“Ilimradi Mose anafurahia nilivyo inatosha, nawashangaa sana ningepungua wangesema nina stress, waniache kabisa,” alisema Aunt ambaye unene wake huo ulikuja baada ya kuzaa mtoto wake wa kwanza aliyempa jina la Cookie.

Chanzo:GPL

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA WEWE NI MFANYA BIASHARA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

Comments

comments

Exit mobile version