-->

Author Archives: chery

Dogo Janja baada ya kuona “Nakupenda sema...

Post Image

Leo March 31,2018 kwenye upande wa entertainment story inayochukua headlines ni kuhusu wanandoa wawili muigizaji Irene Uwoya na Dogo Janja hii ni kutokana na comment ya Dogo Janja baada ya post ya Irene Uwoya kwenye instagram page yake. Irene Uwoya ameandika >>>“Nakupenda sema unakaujinga???” baada ya caption hiyo ya Irene Uwoya maswali mengi yalijitokeza kwa […]

Read More..

VideoMPYA: Nikki wa II ft. Joh Makini &...

Post Image

Unakaribishwa kuitazama ngoma mpya ya Nikki wa Pili ambayo amewashirikisha Joh Makini na S2Kizzy inaitwa ‘hesabu’ ambapo humo ndani Joh Makini amecheza kama Mwalimu huku Wanafunzi darasani wakiwa ni Ebitoke, Ben Pol, Quick Rocka, Linah na wengine

Read More..

2

VideoMPYA: Beka Flavour anakuletea hii nyin...

Post Image

Baada ya staa wa muziki wa Bongo Fleva Beka Flavour kuachia ngoma yake yakibenten na kufanya vizuri this time anakusogezea nyingine ya kuitazama “Noana kiza”akiwa kasimama mwenyewe kwenye ngoma hiyo. bofya PLAY kuitazama

Read More..

Alichosema Jay Moe kuhusu kutofanya collabo...

Post Image

  Mashabiki wengi hujiuliza inakuaje kwenye upande wa Bongo Fleva mastaa wakongwe katika game hii wanashindwa kufanya collaboration wao kwa wao , ugumu unakuwa wapi?? Je ni kwamba ladha ya muziki itapungua kutokana na wao kuwa wakongwe katika muziki? Majibu yote anayo Jay Moe, alisema “Naona watu wanacho jaribu kukitafuta saivi ni kitu kipya , Solo nipo naye […]

Read More..

2

VideoMpya: Prof Jay ametuletea ‘PAGAMISA...

Post Image

Mbunge anaeongoza binadamu na wanyama Joseph Haule ambae ni Mbunge wa Mikumi wengi tunamfahamu kama Prof. Jay katuletea video ya wimbo wake wa ‘Pagamisa’ akiwa kamshirikisha Producer Mr T Touch.

Read More..

1

VideoMPYA: Dulla Makabila ana hii mpya “K...

Post Image

Mkali wa muziki wa Singeli Dulla Makabila ambaye amefanya vizuri na ngoma yake ya ‘Haujaulamba’ leo March 24 2018 ameamua kutoa video mpya kwa mashabiki wake, Dulla Makabila leo ameaachia rasmi video ya ‘Kuingizwa’ Bofya PLAY

Read More..

Esther Kiama yupo kwenye maombi mazito kusa...

Post Image

MDADA anayefanya kazi ya kuigiza kwenye filamu za Kibongo, Ester Kiama amesema kuwa sasa hivi yuko kwenye mfungo wa Kwaresima kwa ajili ya maombi maalum ya kutafuta mtoto wa kike. Akizungumza na Risasi Jumamosi, Ester aliweka wazi kuwa, anatamani sana mtoto na kwa sababu tayari ana mtoto wa kiume, anahitaji kupata wa kike na ndio […]

Read More..

VideoMPYA: Abdu Kiba kaja na “Jeraha” k...

Post Image

Videos za nyimbo mpya zinazidi kuja kutoka kwa mastaa wa muziki na hii ni time ya kui-check “Jeraha” kutoka kwa staa wa muziki wa Bongo Fleva Abdu Kiba akiwa kasimama mwenyewe kwenye ngoma hiyo. Bofya “PLAY” kuitazama

Read More..

DIAMOND PLATNUMZ: SIOGOPI Kwenda Jela Labda...

Post Image

EXCLUSIVE INTERVIEW NA DIAMOND PLATNUMZ KWA MARA YA KWANZA TIMES FM BAADA YA KUTOKA TU KENYA, KAONGEA MENGI SANA KUHUSU BEEF NA MEDIA, ZARI, ALBUM YAKE, WEMA, ALIKIBA, KUFUNGIWA NYIMBO NK. Msanii Diamond aeleza kwanini alifanya performance kwa mara ya kwanza nje Nairobi,kenya. Diamond alieleza kuwa kwenye performance yake ilikuwa na changamoto nyingi na nchi […]

Read More..

Maneno ya Irene Uwoya kwa Msami ‘Usi-forc...

Post Image

Leo March 20,2018 kwa upande wa burudani story ambayo na yenyewe inachukua headlines ni kutoka kwa mke wa msanii Dogo Janja, Irene Uwoya ambaye leo amechukua dakika zake kuandika Instargram ambapo amem-post staa wa muziki waBongo Fleva ambaye pia ni dancer Msami na kuandika caption ambayo imezua gumzo mtandaoni Irene Uwoya ameandika…. >>> Mchezaji muziki bora Afrika usi-force ndio kuwa hapana na tafadhali panic kwa hatari […]

Read More..

VIDEOMPYA: SELINE- CHAPALAPA

Post Image

Msanii Seline ambaye aliwai kuwa katika Label ya The Industry ila kwa sasa anasimamiwa na producer Monagenster, anatualika kuitazama video yake mpya, audio ikiwa imetayarishwa na Producer Abba na video ikiwa imeandaliwa na Director Joowzey location ikiwa ni Dar es Salaam.

Read More..

HABARI ZA MASTAA VideoMPYA: Msanii Timbulo ...

Post Image

Msanii wa Bongofleva Timbulo ametuletea video yake ya wimbo unaoitwa “Post” wimbo ambao Audio imetayarishwa na producer Mocco Genius, video imetayarishwa na Director Lucca Swahili, karibu kuitazama kwa kubonyeza PLAY hapa chini ..

Read More..

VIDEO MPYA VideoMPYA: Ni time ya kuitazama ...

Post Image

  Nazidi kukusogezea karibu ngoma mpya za kutazama  na time hii nakusogezea nyingine kutoka kwa staa wa muziki wa Bongo FlevaMaua Sama ambaye anakualika kuitazama“Nakuelewa” Bofya “PLAY” kuitazama

Read More..

Haya ndio maamuzi aliyoyafanya Shilole

Post Image

Story inayo-trend kwenye mitandao ya kijamii ni hii baada ya Wema Sepetu ku-post picha ya ua rose jekundu  na kuwa tofauti na wengine hii ni kutokana na  wengi kuzoea kuona ua jeusi ku-trend na kutafsriwa kama ishara ya penzi kuvunjika. Ila kwa upande wa staa wa muziki Shilole “Shishi baby” ameamua kuja na maamuzi yake juu ya ua lake […]

Read More..

VIDEOMPYA : Diamond platnumz akishirikishan...

Post Image

Leo tarehe 16 march,2018 msaani wa bongo, Diamond platnumz ameachilia nyimbo mpya akishirikishana na msaani wa marekani, Omarion. Ngoma hii inaitwa  “AFRICAN beauty”. Unaweza kuangalia video hii hapa bila shida yoyote Bofya hapa chini kutazama video hi

Read More..

Vazi la wolper yaleta gumzo.

Post Image

Usiku wa Vikings uliofanyika King Solomon siku ya Jumamosi March 10,2018 mastaa mbalimbali walijitokeza kushuhudia kile ambacho Papii Kocha na baba yake Babu Seyawaliandaa  baada ya kutumikia miaka 13 jela. Ukiongelea aina ya nguo”Fashion” ambazo mastaa walivaa usiku wa Vikings basi hauwezi kuacha kumtaja muigizaji Jacquline Wolper ambaye nguo yake ilizua maneno mengi katika mitandao ya kijamii ambapo wengi walisema kuwa amevaa parachuti. Kupitia mtandao wa snapchat wa Jacquline […]

Read More..

VIDEOMPYA: Jux atuletea ngoma mpya “FIMBO”

Post Image

Tarehe 15 march,2018 Staa wa muziki wa R&B Juma Jux time hii anakusogezea video mpya ya kuitazama“Fimbo” akiwa kasimama mwenyewe kwenye ngoma hiyo ili kuburudika. bofya “PLAY’ KUTAZAMA VIDEO HII.

Read More..

Irene Uwoya ampa onyo Dogo Janja”Thubutu ...

Post Image

Kupitia mitandao ya kijamii kumekuwa na taarifa kuwa msanii Dogo Janja ana mpango wa kuongeza mke wa pili baada ya kufunga ndoa na muigizaji Irene Uwoya ambapo ndoa hiyo ilifungwa mwaka jana 2017 ingawa mashabiki hadi sasa hawaamini kuhusu ndoa hiyo. Kupitia mtandao wa instagram wa Irene Uwoya ameonekana kupata taarifa ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye […]

Read More..