Flora Mvungi Atiwa Mbaroni

Majanga ya Krismasi! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia muigizaji Flora Mvungi kujikuta mikononi mwa polisi alipokuwa akisherehekea sikukuu hiyo. Mrembo huyo alipata majanga hayo akiwa na wenzake wakipata ‘masanga’ kwenye baa moja iliyopo jirani na Kituo cha Polisi cha Urafiki na ndipo askari waliokuwa doria walipowakamata na kuondoka nao hadi kituoni hapo. Awali, askari mmoja alifika […]
Read More..