-->

Baada ya Miaka Miwili, Rose Anarudi na ‘Angela’

MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Swahilihood Rose Ndauka baada ya kuacha kushiriki kazi za watayarishaji wengine amesema kuwa amerudi katika fani hiyo na kazi yake ya Angela ambayo ni kazi yake mwenyewe kwani alisema kuwa hawezi kushiriki filamu za wengine na amefanikiwa.

ROSE NDAUKA345

“Nimeweza kukaa zaidi ya miaka miwili bila kushiriki kazi ya mtayarishaji mwingine kwani nilijipangia kuwa sitaki kushiriki kazi za watu nataka kusimama mwenyewe ndio nakuja na Angela yangu,”anasema Rose.

Msanii huyu anasema kuwa moja ya kutaka kuwa anafanya kazi zake mwenyewe ni pamoja na kuwakilisha mawazo yake tofauti na kazi za kushirikishwa zinamnyima nafasi ya kuwakilisha hisia zake, kwa kufanya hivyo anaamini ni rahisi kushuka kisanaa.

Failamu ya Angela ipo madukani na inasambazwa na kampuni ya Steps Entertainment katika maduka yote nchi nzima Rose anasema amekuja kivingine kabisa katika tasnia ya filamu .

FC

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

bongo movie5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364