Kupitia instagram page ya Idris Sultan ameandika ujumbe ambao umewakumbusha wengi tukio la Elizabeth Michael “Lulu” kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake marehemu Steven Kanumba.
Idris Sultan na Elizabeth Michael wamefanya kazi pamoja katika tamthilia ya SARAFU na moja kati ya kipande katika tamthilia hiyo kimeonyesha kuwa Elizabeth Michael ndiye anayemtembelea Idris Sultan gerezani wakati uhalisia wa sasa ni tofauti.
Comments
comments