Baiskeli yenye kujiendesha yenyewe imetengenezwa na Google
Baiskeli mpya ya kisasa,imetengenezwa na GOOGLE. Ina uwezo wa kwenda yenyewe(self-driving bike)…ukitaka inakufata popote ulipo….unaweza ukafanya kazi ukiwa katika baiskeli hii…ni salama hata kwa watoto na wasiojua kuendesha…hii ndio teknolojia!!!
Click PLAY kutazama video yenye kuonyesha technologia hii