Artists News in Tanzania

Bongo Movie Premiere: Shamsa Ford na Odama wa Fungua Dimba

Ilikuwa ni siku ya jumatanowiki hii  ndani ya Escape One, pale Steps Entertaiment ilipokusanya wasanii wa Tanzania na Burundi katika uzinduzi wa filamu ya Najuta Shamsa na Mkwe ambayo imetengeneza na Odama. Wasanii waliokuwepo ni Dude, Jb, Rashid Mrutu, Faridi Uwezo, Omary Clayton, Rose Ndauka, Wastara, Shamsa Ford, Odama, Mussa Banzi na wengine kibaoooooo.

dude34

Waigizaji Dude na Odama katika pozi

Shamsa Ford

Rose Ndauka

Ommy Clayton mtunzi, na mwigizaji wa filamu

Chodo aka Tajiri mfupi mwigizaji wa filamu

Comments

comments

Exit mobile version