-->

Category Archives: BongoFleva

Chidi Benz Akamatwa Tena na Madawa Dodoma

Post Image

Msanii wa Hip Hop nchini Rashid Makwiro ‘Chid Benz anashikiliwa tena  na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa na sakata hili. Akithibitisha taarifa hizo Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, SACP, Giless Muroto amesema kwamba ni kweli […]

Read More..

Wimbo wa “Papa” wa Gigy waibukia mkutano!

Post Image

Wimbo wa Papa ulioimbwa na msanii Gift Stanford ‘Gigy Money’ na ule wa Wowowo ulioimbwa na Zaiid Yao, umeibua mjadala katika kikao cha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe na viongozi wa vyama na mashirikisho ya wasanii. Leo Ijumaa, Waziri Mwakyembe alikutana na viongozi kwa ajili kujadili suala la maadili ya […]

Read More..

VideoMpya : Enock Bella wa Yamoto ameiachia...

Post Image

Msanii wa Bongofleva aliyekuwa anaunda kundi la Yamoto Band Enock Bella leo December 29 2017 ameachia video ya single yake ya pili baada ya kuanza kufanya kazi kama solo artist, bonyeza PLAY kuitazama inaitwa ‘Nitazoea’

Read More..

Kwaheri mwaka 2017 karibu 2018

Post Image

MWAKA 2017 ulikuwa mpya, sasa umekatika tukisubiria mwaka mwingine mpya 2018 zikiwa zimebaki siku nne tasnia ya filamu kama ilivyo sekta nyingine ambazo zilikuwa na matukio ya kukumbukwa na kuagwa kwa kuukaribisha mwaka 2018 kwa matukio mapya katika ukuzaji wa tasnia ya filamu Swahilihood kwa waliojifunza wamejifunza na wale waliopoteza ni vema kujipanga kwa mwaka […]

Read More..

Harmorapa Aendelea Kunganda Wema

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika mwaka 2017 amehangaika kulipata penzi la mwanadada Wema Sepetu kiasi cha kuamua kwenda kwa mganga wa kienyeji mara tatu ili aweze kumpata mrembo huyo. Harmorapa akipiga stori kwenye kipindi cha eNewz cha EATV amedai kuwa baada ya kuhangaika kwa marafiki zake Wema Sepetu […]

Read More..

Shilole Soon Kumzalia Uchebe Kidume!

Post Image

STAA wa Muziki wa Mduara, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa, kwenye ndoa yake aliyofunga hivi karibuni, atamzalia mumewe, Ashiraf Uchebe mtoto mmoja wa kiume. Akizungumza na Star Mix, Shilole au Shishi Trump alisema, hawezi kusema kuwa hatazaa wakati tayari yupo ndani ya ndoa. “Natarajia kumzalia mume wangu kidume mmoja maana siwezi kuwa kwenye […]

Read More..

Shilole Awajibu Wanaoiponda Ndoa Yake

Post Image

MSANII wa muziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amefunguka na kusema wanaoiponda ndoa yake kwenye mitandao ya kijamii wana chuki binafsi. Akizungumza na MTANZANIA jana, Shilole alisema tangu afunge ndoa na mpenzi wake Uchebe, kumezagaa maneno ya majungu kitu ambacho hakiwezi kumkatisha tamaa na anaamini ndoa yake itadumu. “Mfa maji aishi kutapatapa, ndoa yangu imewaumiza […]

Read More..

Shilole Atoboa Siri ya Kuolewa Kimya Kimya

Post Image

Msanii Zuwena Mohamed, maarufu kama Shilole amesema kilichomfanya afunge ndoa kimya kimya ni kutokana na ushauri alioupata  kutoka kwa Maustadhi kuwa siku ya ndoa ina mambo mengi na ‘husda’ nyingi, ndio maana alifunga ndoa kimya kimya. Shilole alitoa ahadi kuwa atafunga ndoa  kabla ya mwaka huu kuisha na kuwahaidi  mashabiki wake kuwa atawatangazia siku ya ndoa yake lakini […]

Read More..

Nimepata Gauni la Harusi Bado Mume Tu- Taus...

Post Image

MUIGIZAJI wa filamu Bongo Tausi Mdegela amefunguka kwa kusema kuwa anatamani sana kuvaa gauni la harusi kwa muda mrefu na hatimaye ametimiza shauku yake baada ya kufanikiwa gauni hilo na kuliweka ndani kwake ni ishara njema siku yoyote akipata mume mwenye mapenzi atalivaa na kutimiza ndoto zake. “Jambo jema unalitafutia njia mwenyewe maana kuna watu […]

Read More..

Barnaba: Bado nampenda mke wangu

Post Image

KUNA wasanii na wanamuziki. Wasanii ni wale ambao wanaweza kuifanya kazi yao kuwa sanaa na kuwapatia fedha. Kwenye kuimba wanaweza kuwa siyo wazuri sana. Wanamuziki ni wale wanaojua kuimba. Wanafahamu ala za muziki, wanatengeneza mahadhi ya muziki wenyewe na kuimba kwa mvuto wa kipekee. Kwa wale wa Bongo Fleva, kuna mtu anaitwa Barnaba. Huyu ni […]

Read More..

Babu Seya na Papii Kocha Waachiwa Huru Jion...

Post Image

Wanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na mwanawe Johnson Nguza (Papii Kocha) wametoka jioni hii katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam na kulakiwa na familia na mashabiki wao. Taarifa zaidi baadaye. Mapema leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, alitangaza msamaha kwa wafungwa wakiwemo Nguza Viking maarufu kama Babu […]

Read More..

Gigy Money: Unene Ulikuwa ni wa Utoto

Post Image

MWANAMUZIKI na muuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameeleza kuwa unene aliokuwa nao awali ulikuwa ni wa utoto hivyo kukonda kwake kwa sasa ni utu uzima. Akizungumza na Za Motomoto News, Gigy Money alisema watu wanamsema kwa kukondeana kwake lakini anachoweza kusema ni kwamba unene […]

Read More..

Sister P Amtamani Alikiba

Post Image

Msanii mkongwe kwenye bongo fleva, Sister P ambaye amewahi kutamba kwa ngoma kama, Anakuja,  Hey Dj na zingine amefunguka na kusema kuwa katika ujio wake mpya kwenye muziki anatamani kufanya kazi na mfalme Alikiba kwani anaamini watafanya kazi kubwa. Sister P amesema hayo leo alipokuwa akipiga stori na mwandishi wa tovuti ya EATV na kudai […]

Read More..

Hata pesa ya kumsaidia Dudu Baya ninayo –...

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Mr. Nice amesema anajua kwa sasa Dudu Baya ana hali mbaya ila kama msanii huyo anatajitokeza yeye yupo tayari kumsaidia ili aweze kuendelea na muziki wake. Muimbaji huyo ambaye kipindi cha nyuma alikuwa na ugomvi mkubwa na Dudu Baya, ameiambia E-Newz ya EATV kuwa anapoishi nchini Kenya amekuwa akisaidia […]

Read More..

TID amvaa Ben Pol kisa kuimba wimbo wake Fi...

Post Image

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, TID amesema hajapendezwa na kitendo cha Ben Pol kuimba ngoma yake katika tamasha la ‘Fiesta’ wakati yeye hakuwa sehemu ya tamasha hilo. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo, East Africa Radio kuwa atazungumza na wakubwa wake pamoja na wanasheria wake ili kumchukulia hatua Ben Pol. “Nina kesi moja […]

Read More..

Shilole Ataja Rasmi Siku ya Ndoa Yake

Post Image

HATIMAYE mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka na kutangaza rasmi tarehe ya ndoa yake na mchumba wake, Uchebe ikiwa ni baada ya mashabiki kusubiri kwa hamu. Akichonga na Mikito Nusunusu, Shilole alisema anatarajia kuolewa Desemba 20, mwaka huu na harusi yake itakuwa babu kubwa kwani amejipanga. Alipobanwa kuwa anaolewa kwa sababu amepewa ujauzito […]

Read More..

Mpasuko,Aslay Kubomoa Team Kiba, Team Diamo...

Post Image

HITIMISHO la msimu wa Tigo Fiesta unatarajia kuhitimishwa leo kwenye Viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam, huku mashabiki mbalimbali wakisubiri kwa hamu kuhudhuria tukio hilo la kihistoria kwenye kiwanda cha burudani Bongo. Pamoja na kutokuwapo kwa msanii wa kimataifa kama ilivyozoeleka, lakini mashabiki wa burudani wameonekana kuridhishwa na wasanii wa hapa nyumbani ambao […]

Read More..

Mr. Nice Amchana Dudu Baya, Adai Hana Mhaha...

Post Image

Msanii Mr Nice ambaye kwa sasa ameachia kazi yake mpya ya Yaya, amejibu tuhuma za msanii mwenzake Dubu Baya aliposema kwamba maisha yamemshinda na kukimbilia Kenya, na kumjibu kuwa Dudu Baya ni msanii asiyejielewa, ndio maana hana mahali pa kuishi. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Teleivison, Mr.Nice amesema ni wakati sasa Dudu Baya akomae […]

Read More..