Album ya Diamond Kupatikana Duniani Kote

Msanii Diamond Plutnumz ambaye yuko kwenye mikakati ya kutoa albam yake itakayouzwa kimataifa, ameweka wazi mikakati yake ya kuisambaza album hiyo, ili iweze kupatikana duniani kote. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond amesema mwanzo alikuwa hajafanikiwa kutoa albam kwani alikuwa anaangalia soko jinsi lilivyo, na aljikita zaidi kwenye mitandao ili kujitambulisha zaidi, lakini […]
Read More..