-->

Category Archives: BongoFleva

Joh Makini Afunguka Kuhusu Wapi Bongo Fleva...

Post Image

Msanii Joh Makini ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa ‘Perfect Combo’ amefunguka na kusema muziki wa bongo fleva sasa unaelekea sehemu nzuri na wale wote waliokuwa wanafanya ujanja ujanja kwenye muziki wataachwa kwani wakati umebadilika sasa na watu wanataka kusikia muziki mzuri na si ujanja ujanja. Joh Makini aliyasema hayo kwenye kipindi […]

Read More..

Diamond Afunguka Haya Baada ya ‘Kidogo’...

Post Image

Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo. Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake:  

Read More..

Kazi Kazi’ Ndiyo Ujio Mpya Prof Jay Kweny...

Post Image

Mbunge wa jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chadema na mwanamuziki wa Hip hop Prof Jay amefunguka na kusema kuwa amendika na kutengeneza video ya wimbo wake mpya alioupa jina la ‘Kazi kazi’  ili kuwatia moyo vijana na watu waliokata tamaa ya maisha na kuwataka kufanya kazi kwani ipo siku maisha yao yatabadilika. Prof Jay […]

Read More..

Video ya Fid Q yashinda Tuzo za ZIFF

Post Image

TUZO mpya ya video bora ya wimbo wa Bongo Fleva imekwenda kwa Farid Kubanda ‘Fid Q’ kupitia video ya wimbo wake wa ‘Walk it Off’. Katika shindano hilo, wasanii saba wa muziki wa kizazi kipya kutoka Dar es Salaam na watatu kutoka Uganda walioshindanishwa video zao, video hiyo ndiyo iliibuka mshindi. Kwa mujibu wa mkurugenzi […]

Read More..

Shaa Sipo Tena Ndani ya Mj record

Post Image

Saa ameithibitishia Enews kwamba kwa sasa yeye hayupo tena chini ya lebo ya Mj Record Malikia wa uswazi kama mwenyewe anavyopenda kujiita Shaa ameweka wazi zile tetesi zilizokuwa zimezagaa kwamba ameondoka Mj Record na kesema ni kweli hayupo chini ya lebo hiyo lakini haimaanishi kwa hafanyi kazi na studio za Mj . Hata hivyo Shaa […]

Read More..

Chura ya Snura Bado Kimbembe

Post Image

LICHA ya kufungiwa na mamlaka husika za serikali kutokana na video yake kukiuka maadili ya Mtanzania, wimbo wa ‘Chura’ ulioimbwa na Snura Mushi ‘Snura Majanga’ unaonekana kumpa changamoto kwa mashabiki wake kila wanapomtaka auimbe. Katika kila onyesho lake mjini hapa, mkali huyo anayetamba kwa sasa na wimbo mpya wa ‘Shindwe’ unaomaanisha kishindo, mashabiki wamekuwa wakimshinikiza […]

Read More..

Niliitwa Mimi Mwizi- Babu Tale

Post Image

Meneja wa Diamond Platnumz na Tip top Connection, Babu Tale amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi waliondoka kwake kwa maneno ambayo walikuwa wakiambiwa mtaani na wananchi kuwa ana wasimamia huku akiwaibia pesa zao. Babu Tale alisema haya kupitia kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kudai wasanii hao waliamua kuondoka chini ya uangalizi […]

Read More..

Roma Amemchana Babu Tale

Post Image

Wakati wananchi wa kisubiri kusikia wimbo mpya wa Roma juu ya kuichana serekali ya Magufuli ,Roma ameachia wimbo wake huo ambao amewachana wala unga pamoja na babu tale kumganda Diamond Baada ya mashabiki kukaa na kusubili kazi mpya ya Roma Mkatoliki ambayo amemshirikisha msanii mwenzake Darasa ambayo kila mwananchi akitegemea kusikia akiichana serekali ya Magufuli […]

Read More..

Roma Mkatoliki: Babu Tale Alinichimba Mkwar...

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki ambaye leo ameachia ngoma yake mpya ‘Kaa tayari’ amefunguka na kusema moja ya mstari uliopo kwenye wimbo wake huo unamuhusu meneja wa Diamond Platnumz ambapo unamchana kuwa saizi anamganda sana Diamond Platnumz mpka amelisahau kundi lake na Tip Top Connection. Roma Mkatoliki amedai kabla ya wimbo huo haujatoka aliweza kusimkilizisha Babu Tale kisha […]

Read More..

Dudubaya:Muziki Siyo Mkojo

Post Image

Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa msanii anapaswa kutulia na kujipanga kwenye kutengeneza nyimbo zake ili aweze kufanya kazi nzuri na yenye kuvutia kwa mashabiki kwani muziki si kama mkojo kuwa unapojisikia umekubana ukojoe. Dudubaya amesema hayo kupitia kipindi cha eNEWS alipokuwa akielezea sababu za yeye kuendelea kutamba na kuzungumziwa sana kwenye mitandao ya kijamii […]

Read More..

Kufuatia Tetesi za Kuwepo kwa Mgogoro wa Ki...

Post Image

Kuna tetesi nyingi sana zimevuma kwenye mitandao ya kijamii wiki hii kuhusiana na Diamond na Zari. Miongoni mwa tetesi hizo ni pamoja na kuwa Zari haelewani kabisa na ndugu zake Diamond akiwemo mama mkwe wake na wifi yake, Esma. Hilo Zari alilielezea kwa mafumbo kwenye Snaochat na kudai kuwa hajali kama nchini au ukoo usipomkubali, […]

Read More..

Linah Sanga Afunguka Sababu ya Kutomuweka ...

Post Image

Msanii Linah Sanga ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Imani’ amefunguka na kusema kuwa kwa mambo ambayo tayari yamemkuta kwenye mahusiano hayupo tayari tena kumuweka wazi mpenzi wake kwenye mitandao ya kijamii. Linah Sanga akiongea kwenye kipindi cha Enews amesema kwamba kwa sasa yeye hayupo tayari kumuweka wazi mpenzi wake kama ilivyokuwa […]

Read More..

Nilimtoa Masogange-Belle 9

Post Image

Msanii wa RnB Abednego Damian ‘Belle 9’, amesema umaarufu wa mkali wa kunogesha video za wasanii, Agnes Gerald ‘Masogange’, umetokana na wimbo wake wa ‘Masogange’. Belle 9 alisema huwa anaamini kipaji cha mtu ndio maana wengi aliowashirikisha katika nyimbo zake wamepata umaarufu mkubwa. “Nimefanya kazi na wasanii wasiotambulika akiwemo Masogange na wamepata umaarufu mkubwa pia […]

Read More..

Hakuna Ubaya Kutoka na Kajala- Msami

Post Image

Msanii Msami ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa ‘Mabawa’ amefunguka na kusema kuwa yeye ni mwanaume na Kajala ni mwanamke hivyo kwa kile ambacho kinazungumzwa na watu kuwa huenda anatoka naye kimapenzi ‘Si jambo baya kwani Kajala ni mtoto wa kike na yeye ni mwanaume hivyo chochote kinaweza kutokea kati yao’. Msami […]

Read More..

Picha: Show ya ‘The Black Tie’ ya Wema ...

Post Image

Msanii wa muziki Christian Bella amefanya show ya nguvu katika show ya ‘The Black Tie’ ambayo iliandaliwa na malkia wa filamu Wema Sepetu. Steve Nyerere amwaga mapesa kwa Christian Bella Show hiyo ambayo imefanyika usiku wa Jumamosi hii katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es salaam, imeacha historia ya aina yake katika muziki kutokana […]

Read More..

Soggy : Wasanii Bongofleva Hawana Topic za ...

Post Image

Msanii mkongwe, Soggy dog ,anampongeza saana aliyetunga muziki wa singeli lakini anachojua ni kwamba singeli haiwezi kuitanganza nchi kimataifa kwa kuwa ni muziki ambao unapendwa na baadhi ya jamii zinazotuzunguka Unakumbuka ile hit song kibanda cha simu???? Umeshawahi kujiuliza homeboy Soggy Dogg yuko wapi now? Jamaa amerudi kwa hasira na kudiss kuwa hakuna muziki sasa, […]

Read More..

Kiki za Mastaa Zilizotingisha, Shilole, Van...

Post Image

KIKI siyo kitu kigeni kabisa kwa wasanii ulimwenguni. Kutafuta jambo la kushtua na kuwafanya mashabiki wamzungumzie msanii husika kwa muda mrefu zaidi akiwa na lengo la kuachia kazi yake. Lakini kwa baadhi ya wasanii wetu hapa Bongo hujiingiza kwenye skendo wakidhani ni kiki. Kwa kawaida kiki ni nzuri ili kumsaidia msanii kujipaisha na kuchomoa kazi […]

Read More..

Maneno ya Jay Moe Kwa Wasanii Wakongwe

Post Image

Jay Mo amesema baada ya kutoa ngoma yake ya ‘Pesa Madafu’ amengundua mengi yakiwemo mabadiliko ya music wa kisasa huku akisema kipindi chao ilikuwa lazima utoe albamu ndo uuze lakini kwa sasa mtu anasingle mbili anasifa. Mkongwe wa muziki wa rap ambaye alikaa kimya kwa miaka 11 kwenye gemu na kuibuka na ngoma kali inayosumba […]

Read More..