-->

Category Archives: BongoFleva

Roma: Tutaendelea Kuichana Serikali Inapoko...

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki amefunguka na kusema kuwa ataendelea kuichana Serikali pale ambapo inakosea na wataisifia pale inapotenda mambo mema kwa jamii na amesisitiza kuwa yeye anaamini kuwa mpaka sasa katika uongozi wa Rais Magufuli. kuna mambo mengi ya kuzungumza au ya kuimba kwani kuna matukio mengi yaliyotokea ambayo jamii inataka majibu yake. “Tutaendelea kuichana Serikali […]

Read More..

Joh Makini: Sina Tatizo na Dully

Post Image

Baada ya tetesi na uvumi kuzagaa kuwa Dully Skys ana bonge la bifu na Joh Makini mpaka kupelekea kujitoa kwenye kolabo aliyoshirikiswa na TID kwenye wimbo wa Confidence, eNewz imekutana na Joh na kupiga naye stori. Kwanza aliulizwa anajisikiaje kufanya kazi na TID na suala la Dully kujitoa kwenye ngoma ya Confidence analichukuliaje hilo? Joj […]

Read More..

Dawa za Kulevya Kwangu Itabaki Historia- Ch...

Post Image

Mkali katika muziki wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’, amesema matumizi ya dawa za kulevya yamempa mafunzo makubwa na itabaki kuwa historia kwake. Chid Benz aliliambia MTANZANIA kwamba dawa za kulevya zimeharibu maisha yake kwa kiasi kikubwa na yamemdhalilisha yeye na familia yake na watu wake wa karibu hivyo hatathubutu kurudia kama baadhi ya […]

Read More..

Alikiba Atambua Kiu ya Mashabiki Zake, Asem...

Post Image

Alikiba amesema anaamini mashabiki zake mpaka sasa watakuwa na kiu ya kusikiliza kazi mpya kutoka kwake hivyo hata waangusha kwani kwa sasa yeye atakuwa akitoka kazi juu ya kazi ili aende sawa na mashabiki zake. “Ukiwa kama shabiki yangu number moja click link kwenye Bio yangu kufikisha 2 Million Views. Kisha baada ya hapo wewe […]

Read More..

Hakeem 5 Atoboa siri ya Sharobaro Records

Post Image

Akiongea kwenye Planet Bongo ya east Africa Radio, Hakeem 5 amesema jina hilo walipewa na msanii Dully Sykes, kutokana na muonekano ambao alikuwa nao wa kupendeza. “Sharobaro ni mimi na Bob Junior, sisi ndio Sharobaro, kwa sababu sisi tulikuwa watu ambao tunajipenda sana, tunapendeza, sasa brother Dully akasema aah nyi masharobaro nyinyi, lilimtoka tu hilo […]

Read More..

Acha Wajichore , Aunt Ezekile, Kajala, Chuc...

Post Image

KATIKA dunia ya sasa ya mwendo kasi suala la watu kujichora tattoo sio jambo geni. Wapo wanaojichora kwa ajili ya kuwaenzi wenza wao kwa maana wapenzi, wao, watoto na hata familia zao. Huchora picha ama majina na hata herufi za wahusika mradi kuonyesha namna wanavyowazimia na kuwajali. Kwa mfano katika soka, nyota wa kimataifa wa […]

Read More..

TID: Mimi ni Mtoto wa Kishua

Post Image

Msanii TID ameamua kuwajulisha watu siri ya maisha yake, hususan wale wanaomchukulia poa kuwa amechoka, lakini si kweli. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio TID maesema tangu utotoni mwake amelelewa kwenye familia yenye uwezo kipesa, na kumpa urahisi wa kupata akiyoyahitaji kama mtoto. Akielezea historia ya wimbo wake wa zeze ambao ndio ulimpa […]

Read More..

Madam Rita Afunguka Kuhusu Bongo Star Sear...

Post Image

MKURUGENZI wa Benchmark Production, Rita Paulsen, ametolea ufafanuzi kuhusiana na mchakato wa kusaka waimbaji chipukizi katika shindano lake maarufu la ‘Bongo Star Search’ linalofanyika kila mwaka. Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya Rita kutambulisha kipindi chake kipya cha televisheni cha ‘Rita Paulsen Show’ kinachorushwa kila Jumapili katika runinga ya Azam two. “Rita Paulsen Show […]

Read More..

Mr Blue: ‘Mboga Saba’ ni Habari Kubwa

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Mr Blue amesema hajawahi kupata mapokezi mazuri katika muziki wake kama aliyoyapata katika video yake mpya ya wimbo ‘Mboga Saba’ Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Mr Blue amesema kuna vitu vingi vimechangia kazi hiyo kuwa kubwa kwa muda mfupi. “’Mboga Saba’ hii ni kazi ambayo imefanya vizuri zaidi kwa […]

Read More..

Nay wa Mitego Awashukia Wanaotaka Kujibisha...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego, amesema kwa levo aliyonayo kwenye gemu la muziki hawezi kushindana na msanii ambaye anatafuta kiki kupitia yeye na huku hafikii levo yake. Nay wa Mitego, aliyazungumza hayo Ijumaa kwenye kipindi cha Friday Night Live ya EATV na EA Radio baada ya kuulizwa kuhusiana na tetesi kwamba hapo awali […]

Read More..

Baada ya Tuzo za BET, Diamond Kuja Upya na ...

Post Image

Tuzo za BET zimefanyika mwishoni mwa wiki hii pande za Los Angeles, Marekani ambapo msanii Diamond Platnumz aliwakilisha Tanzania ambapo mshindi aliyekuwa akiwania tuzo moja na msanii Diamond na wengine kutoka barani Afrika alitoka nchini Afrika Kusini ambaye ni Black Coffee. Diamond amezungumza na Clouds Fm. ‘’Kila kitu kimekwenda fresh tuzo za Afrika zimetolewa ambapo […]

Read More..

Mkubwa na Wanawe Watoa Msaada Hospitali ya ...

Post Image

KITUO cha kuvumbua na kuendeleza vipaji vya muziki cha Mkubwa na Wanawe, kimetoa msaada wa vifaa vya tiba na usafi, dawa za meno, sabuni, maji na juisi kwa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam. Said Fella, alisema wameamua kufanya hivyo kutokana na kuguswa na changamoto zinazoikabili hospitali hiyo. Alisema alishauriwa na vijana […]

Read More..

Afande Sele Awapa Makavu Wasanii Hawa

Post Image

Msanii mkongwe wa bongo fleva, Afande Sele ameongea na Enews na kuongelea swala la wasanii wengi wa kitanzania ‘kufeki’ maisha yao halisi ikiwemo kubadili hata rangi za ngozi zao na kujiongezea weupe na wakati mwingine hata kubadilisha asili yao. Hata hivyo Afande Sele amesema ni kutokana na uelewa wao kuwa mdogo kwa kuwa kubadilisha muonekano […]

Read More..

Meneja Sober House Aanika Mazito ya Ray C

Post Image

SIKU chache baada ya kufikishwa katika kituo maaulum cha kusaidia waathirika wa dawa za kulevya Bagamoyo Sober House, meneja wa kituo hicho, Godwin Msilo ameeleza mazito ya mrembo huyo sambamba na maendeleo yake kwa ujumla. Ray C alifikishwa kwenye kituo hicho Ijumaa iliyopita baada ya kukamatwa na polisi maeneo ya Kinondoni jijini Dar akifanya vurugu […]

Read More..

Kala Jeremiah: Baba Alifariki Siku ya Kukut...

Post Image

MSANII wa miondoko ya hip hop, Kala Jeremiah, amesema hatasahau siku alipopanga kukutana na baba yake mzazi kwa mara ya kwanza kwani ndiyo siku aliyofariki dunia. Kala alisema alitoka Mwanza hadi Dar es Salaam kumtafuta baba yake lakini kabla hajakutana naye alipokea taarifa mbaya kuhusiana na baba yake huyo jambo ambalo anadai halitatoka katika kumbukumbu […]

Read More..

TID Ampa Makavu Dully Sykes

Post Image

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East AFrica Radio, TID amesema Dully Sykes hakupenda kitendo cha Joh Makini kuwepo kwenye collabo yao ya wimbo wa confidence. “Kwanza ile ngoma mwenyewe ndio alitaka kuwepo baada ya kuisikia, akasema mnyama hii ngoma kali naomba niweke sauti na mimi, nikamkubalia tukarekodi, lakini alivyokuja kusikia Joh Makini yupo akanipigia simu […]

Read More..

Chidi Benz Atoboa Chanzo cha Wasanii Kutumi...

Post Image

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Chidi Benz amefunguka na kueleza jinsi wadau wa muziki nchini wanavyosababisha wasanii wa muziki kuingia kwenye matumizi ya Madawa ya kulevya. Rapper huyo ambaye ameachana na matumizi ya Madawa ya kulevya hivi karibuni, ameiambia BBC kuwa wasanii wengi wanaingia kwenye Madawa ya kulevya baada ya kupata stress za kubaniwa […]

Read More..

Young Dee: Nimekoma ngada

Post Image

Baada ya mengi kutokea na kuvuma juu ya tetesi za utumizi wa madawa ya kulevya kwa msanii wa bongo fleva Young D hatimaye amerudi tena kwa kiongozi wake wa zamani Max na kutangaza kuacha ngada mbele ya waandishi wa habari. Enewz imezungumza na MAX na tukamuuliza tulitegemea kusikia wimbo mpya wa Young D leo hii […]

Read More..