-->

Category Archives: Bongomovies

artists from Tanzania , East AFRICA

Riyama Awatolea Povu Hawa

Post Image

NYOTA wa filamu nchini, Riyama Ally amedai kukerwa na tabia za baadhi ya watayarishaji na wasambazaji wanaomtumia katika kazi zao kibabaishaji na kumharibia jina lake. Alisema ametengeneza jina lake kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu, kitendo ambacho kinamvunja moyo kuona watu wanaliharibu kirahisi. “Mtu anasema dada yangu naomba unisapoti katika kazi yangu, uso umeumbwa […]

Read More..

Sipendi mwanaume mfupi -Tausi Mdegela

Post Image

Msanii wa filamu nchini Tanzania na kipenzi cha watoto, Tausi Mdegela amefunguka na kudai urefu wa muimbaji wa taarabu Prince Amigo ndio kitu pekee kilichoweza kumchanganya mpaka kufikia hatua ya yeye kukubali kuolewa mke wa pili. Tausi amebainisha hayo kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa mubashara kwenye ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano […]

Read More..

Brother K, Noma Sana!

Post Image

KWA kumwangalia tu kimwonekano hasa akiwa katilia mavazi yake ya kisanii, shati kubwa kama la kuvaa watu wanne, huku chini akipigilia suruali pana na viatu fulani hivi, lazima utavunjika mbavu. Huyo ndiye Tajiri wa Kigoma a.k.a Brother K, msanii mahiri wa kuvunja mbavu anayetamba na kundi la vichekesho la Futuhi. Ndiye anayetajwa kama mchekeshaji wa […]

Read More..

Mzee Majuto: Niombeeni Jamani, Tezi Dume Si...

Post Image

MKONGWE wa filamu za Kibongo aliye kipenzi cha wengi, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ ambaye kwa sasa ni mgonjwa ametoa ya moyoni kuwa bado anaumwa hivyo kuwaomba wasanii wenzake na Watanzania kumuombea. Akizungumza na Star Mix, Mzee Majuto alisema Februari 11, mwaka huu anatarajia kurudi tena katika Hospitali ya Tumaini, Dar alikokuwa amelazwa awali na kuruhusiwa […]

Read More..

Niva atambia kimombo

Post Image

MWIGIZAJI Mohammed Zubery ‘Niva’, amefichua kuwa kujifunza kwake lugha ya Kiingereza kumemfungulia njia kwani sasa safari za kutoka na kwenda nje ya nchi zinajitokeza na hana hofu tena katika suala la mawasiliano na watu mbalimbali. “Nawaambia kabisa, kila siku wasanii wenzangu wajifunze lugha tofauti, kwani nimesoma kozi ya Kiingereza na imeanza kujibu bwana safari zimeanza […]

Read More..

SHILOLE : Macho ya Uchebe, Tabasamu Lake Mi...

Post Image

NAJUA unamjua ila Mpaka Home inakujuza zaidi. Siyo mwingine ni staa wa Bongofleva, Shilole maarufu kama Shishi Baby ambaye wazazi wake walimpa jina la Zuwena Mohammed. Shishi ametamba na nyimbo kadhaa katika Bongofleva ingawaje umaarufu wake ulianzia kwenye filamu. Hivi karibuni, alifunga pingu za maisha na Ashraff Uchebe, watu wengi hawajui staa huyu anaishi vipi […]

Read More..

Mume wa Shilole Aukana Usangoma

Post Image

MUME wa mwanamuziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Ashrafu Uchebe amekana kuwa mganga (Sangoma) wa kutumia vitabu na kuweka wazi kuwa kazi yake ni ufundi wa magari. Maelezo hayo yamekuja kutokana na madai yaliyokuwa yumeenea kwamba, mbali na kufanya mambo mengine lakini pia anatibu kwa kutumia Quran na amekuwa akifanya hivyo tangu alipokuwa Zanzibar. Akizungumza na Risasi […]

Read More..

Multichoice imekuja na THE PUNGUZO- Miezi m...

Post Image

Punde tu baada ya kumaliza ofa mahsusi ya kufunga mwaka, MultiChoice Tanzania imetangaza neema kwa wateja wake wapya watakaojiunga kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka ambapo watajipatia ofa ya kifurushi kwa muda wa miezi miwili bure! THE PUNGUZO- Ni Kwa shilingi 79,000 tu, mteja anapata vifaa vyote vya kujiunga na DStv ikiwemo Dish, Dikoda, Rimoti, […]

Read More..

Ishu ya Tunda, Aunt Ezekiel Iko Hivi!

Post Image

AREMBO wa Bongo hawajawahi kuwa salama wala kumuacha mtu salama. Safari hii mambo ni moto kwelikweli kwa mastaa wawili wa kike, Aunt Ezekiel na Tunda. Wadada hao wenye mvuto wa kipekee ndani ya Bongo, wamelianzisha kinoma huko kwenye mitandao ya kijamii na hali kwa sasa si shwari. Ishu yao ilianza kama utani vile, lakini baadaye […]

Read More..

Bongo Movies Kuonyeshwa Kwenye ‘Porta...

Post Image

Mwaka mpya mambo mapya, Steps Entertainment imeleta portable cinema ambayo inawawezesha wapenzi wa filamu kujionea filamu kwenye screen kubwa ikiwafata mtaani. Jionee picha hizi za hivi karibu kwenye viwanja vya jangwani.  

Read More..

Dude Afunguka ‘Kumpiga’ JB

Post Image

Mwigizaji Kulwa Kikumba maarufu zaidi kama Dude amefunguka na kudai ameshawahi kumuingiza mjini msanii mwenzake Jacob Stepheni (JB) kwa kumtapeli laki moja na thelathini japokuwa mwenyewe alifahamu. Dude ameeleza hayo kwenye Big Chawa ndani ya kipindi cha Planet Bongo ya East Afrika Radio baada ya kuulizwa ni msanii gani amekaa kizembe zembe ambaye anaweza akatapeliwa […]

Read More..

Mume Ampiga Stop Shamsa Mitandaoni

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford anadaiwa kupigwa stop kutumia mitandao ya kijamii na mumewe, Chid Mapenzi na kwa muda sasa haonekani hasa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambako aliwaaga kabisa mashabiki zake. Chanzo kilieleza kwamba Chid Mapenzi alimpiga marufuku mkewe Shamsa kutumia mitandao ya kijamii kwa kuwa muda mwingi alikuwa akiutumia kwenye […]

Read More..

Rais Magufuli Amtembelea Mzee Majuto Hospta...

Post Image

Siku chache baada ya MCL Digital kumtembelea muigizaji wa filamu na maigizo Mzee Majuto na kuandika habari zake kwenye gazeti la Mwanaspoti na mitandao ya kijamii, hatimaye Rais Dk John Pombe Magufuli leo Jumatano amemtembelea muigizaji mkongwe, Mzee Majuto katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam anakopatiwa matibabu. Akithibitisha habari hizo, mke wa Mzee […]

Read More..

Mambo ya Kununua Vitu Mtandaoni ‘Yame...

Post Image

Msanii wa muziki bongo asiyeisha vituko, Zuwena Mohamedi maarufu kama Shilole, ameweka wazi janga lililomkuta kwenye nguo aliyovaa ambayo imeonekana kuwaacha watu midomo wazi huku wakimcheka. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Shilole amesema nguo hiyo aliagiza mtandaoni, lakini matokeo yake ilikuja kumbadilikia baada ya kuvaa. “Kwaweli haya mambo ya kununua vitu mitandaoni […]

Read More..

Rais Magufuli Amchangia Wastara Sh15milioni

Post Image

Rais John Magufuli na mkewe Janeth, leo wametoa msaada wa Sh15milioni kwa msanii wa filamu nchini, Wastara Juma anayetakiwa kwenda nchini India kwa matibabu. Msanii huyo anahitaji Sh37milioni zitakazogharamia matibabu yake ya mguu na mgongo na alitakiwa kwenda India tangu mwaka jana, lakini imeshindikana kutokana na kukosa fedha. Kiasi hicho cha fedha kilichotolewa na Rais […]

Read More..

Wema Sepetu ataja sifa za mwanaume anayemta...

Post Image

Msanii wa filamu, Wema Sepetu ameibuka na kudai kwamba yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza. “Mimi napenda mwanaume anayejielewa,mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea,lakini si mwanamke ninayependa pesa kuliko utu na mapenzi ya kweli,”alijinadi Wema Sepetu na kuongeza; “Unajua pesa sio kikwazo katika maisha yangu, […]

Read More..

Wema Amlipua Mke wa ‘Nabii’ Tito

Post Image

DAR ES SALAAM: Katika hali isiyotarajiwa, imeelezwa kuwa msanii nyota wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, amemlipua mke wa ‘Nabii Tito’ baada ya mwanamke huyo kumshawishi kupitia mitandaoni aolewe na nabii huyo. Chanzo chetu makini kilisema kuwa, msanii huyo amekasirishwa na kitendo cha mke huyo kumshawishi kuolewa na mumewe anayeitwa Onesmo Machija ‘Nabii Tito’ (44). “Wema Sepetu […]

Read More..

Tausi Mdegela Kuolewa Mke wa Pili

Post Image

Msanii wa filamu wa Tanzania mwenye muonekano wa kipekee na kipenzi cha watoto, Tausi Mdegela, ameutaarifu umma kuwa anatarajia kuolewa kuwa mke halali wa mpenzi wake wa siku nyingi ambaye ni msanii wa muziki wa taarabu, Prince Amigo. Akizungumza na mwandishi wa EATV, Tausi amesema suala la ndoa ni mipango lakini ni jambo ambalo lipo, kwani […]

Read More..