-->

Category Archives: Bongomovies

artists from Tanzania , East AFRICA

Shamsa Ford Amtia Moyo Lulu

Post Image

ALHAMISI wiki hii kesi inayomkabili staa wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayedaiwa kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, Aprili mwaka 2012, ilianza kusikilizwa tena kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam huku mashahidi mbalimbali wakitoa ushahidi wao.     Moja ya mastaa waliomtia moyo, Lulu ni Shamsa Ford ambaye alimtaka mrembo […]

Read More..

Siataki Kulazimisha Umaarufu-Diana

Post Image

MOJA ya changamoto kubwa inayowakabili baadhi ya mastaa nchini ni kushindwa kuwa na mfumo unaoendana na nafasi zao, kisa umaarufu na kujikweza kupindukia. Lakini mwigizaji Diana Kimaro, anayeigiza filamu na Elizabeth Michael ‘Lulu’, amefichua kuwa hapendi kuanika mambo yake hadharani, akikiri ni mtihani kwake. “Sitaki kufanya ‘interview’ kwa sababu sitaki kulazimisha umaarufu, sipendi kuandikwa andikwa […]

Read More..

Baba Mzazi wa Lulu Akataa Posa ya Lulu

Post Image

Baba Mzazi wa muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael, Mzee Michael Kimemeta, amekataa kupokea posa ya binti yake huyo ambaye amekuwa akiwatoa udenda wanaume wengi kwa urembo wake. Mzee Kimemeta amefunguka hayo alipokuwa akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba hatopokea posa ya mwanaume atakayekwenda kumuoa Lulu, […]

Read More..

Nilikuta Chupa ya Pombe na Mapanga Mawili C...

Post Image

Kati ya mashahidi watatu waliotakiwa kutoa ushahidi leo katika Mahakama ya Kanda Maalumu Dar es salaam kuhusiana na kesi ya kuuwa bila kukusudia inayomkabili muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu, wawili wamefanikiwa kutoa ushahidi huku mmoja akitakiwa kufika Siku ya Jumatatu kwa zoezi hilo. Kati ya mashahidi wawili waliofanikiwa kutoa ushahidi siku ya leo kuhusiana na kesi hiyo […]

Read More..

Lulu Afungukia Kesi Yake

Post Image

Ikiwa imebakia siku moja kuanza kusikilizwa tena kwa kesi ya mauaji ambayo inamkabili, msanii Elizabeth Michael (Lulu) amesema yupo tayari kukabiliana na kesi hiyo, ambayo alijua ipo siku itarudi tena. Lulu ameyasema hayo leo alipokuwa akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kuwa alikuwa na taarifa ya kesi […]

Read More..

Huyu Wolper ukimzingua tu, anakumwaga

Post Image

“Kila mtu anatakiwa kuwa na maamuzi yanayompa faraja, si kila jambo lazima liwe sawa na mtu mwingine kifikra, kuna baadhi ya wanawake wanajikuta wakinyanyasika kwa kuhofia jamii itawaonaje wakiachana na waume wasaliti, ila kwangu haipo hivyo,” alisema. JACQUELINE Wolper, mmoja wa nyota wa filamu nchini amesema hajaumbwa ili ateseke au kunyanyasika kwa mwanaume, hivyo anapokuwa […]

Read More..

Sina Urafiki na Bongo Movie Zaidi ya Kazi- ...

Post Image

MUIGIZAJI bora katika tasnia ya filamu Bongo Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema kuwa hana rafiki ndani ya Bongo movie zaidi ya kazi kitu anachokipenda kuliko kitu kingine , alisema kuwa anakuwa na rafiki katika kazi husika tu na si vinginevyo hivyo anashanga kutokea mtu kumshambulia katika mitandao ya kijamii.   “Niwe wazi kiukweli naweza sina rafiki […]

Read More..

Rammy Galis na Rado Wametoleana Mapovu

Post Image

WAIGIZAJI wawili kutoka Bongo Muvi, Rammy Galis pamoja na Rado wametoleana mapovu mazito huku Rado akisema kuwa Ramy kwake ni msanii mdogo sana. “Kwanza Rammy amefanya filamu nje, hiyo sio Bongo Muvi hivyo mimi nafanya kitu halisia kutoka Tanzania na kingine Rammy ni msanii mdogo sana huwezi nishindanisha nae yeye ni viwango vya kina Gabo […]

Read More..

Duma: Gabo Zigamba Kabweteka

Post Image

Msanii wa filamu za bongo Duma amefunguka na kusema kuwa msanii mwenzake wa filamu za bongo, Gabo Zigamba amebweteka kwani hakuna kazi anazofanya na kusema yeye hawezi kumuamsha mtu aliyelala. uma alisema hayo siku kadhaa zilizopita wakati akizindua filamu yake ya ‘Bei kali’ na kusema kuwa wao walimualika Gabo aweze kufika kwenye uzinduzi huo lakini […]

Read More..

Wolper Afunguka kuachana na Brown

Post Image

Msanii Jackline Wolper ambaye hivi karibuni amekumbwa na tetesi za kuachana na mpenzi wake, amekanusha taarifa hizo na kusema kwamba wakiachana mashabiki wake watajulishwa. “Watanzania wamezoea sana Instagram, usipompost bwana wako basi mmeachana, hawajui hata kama watu mumepata deal, mmeingia mikataba, hautakiwi kuweka mapicha ya mapenzi, mpaka wanataka utoe siri sasa, kuna issue siwezi kuiongelea, […]

Read More..

Kesi ya Wema Ngoma Bado

Post Image

KESI inayomkabili, Wema Sepetu bado mbichi. Hii ni baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Jumatano kukwama kutoa uamuzi wa kupokea au kutopokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali, nyumbani kwa Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006. Hatua hiyo imetokana na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, kutomaliza kuandaa uamuzi, hivyo kuahirisha kesi hiyo hadi […]

Read More..

Wema Amuachia Mungu Swala la Kupata Mtoto

Post Image

STAA mwenye jina kubwa nchini katika Bongo Movie, Wema Sepetu amesikia kauli za mashabiki wake kuhusu kushindwa kupata mtoto mpaka sasa, lakini amewaambia hata yeye anaumia, ila hajakata tamaa kuitwa mama. Wema alisema sio kama hajahangaika au eti ameridhika kuishi bila mtoto, isipokuwa jitihada zake zimekwamishwa na bahati na sasa ameamua kumwachia Mungu amfanyie miujiza […]

Read More..

Duma Afungukia Kufanya Uchafu na Uwoya

Post Image

MUUZA nyago kwenye muvi za Kibongo, Daud Michael ‘Duma’ juzi kati alipobanwa juu ya kufanya uchafu na muigizaji mwenziye Irene Uwoya kwenye muvi ya Bei Kali kwa kunyonyana ndimi na midomo hadharani alisema kuwa huo si uchafu bali walikuwa kazini na walitakiwa kuonesha uhalisia zaidi.   Akipiga stori na gazeti hili, Duma aliendelea kuwa muvi […]

Read More..

Wema Sepetu Afungukia Ishu ya Umri Wake

Post Image

Msanii wa filamu nchini ambaye pia alishawahi kutwaa taji la mrembo wa Tanzania Wema Abraham Sepetu, amewacharukia na kuwajibu watu wanaoendelea kumsema vibaya kuhusu umri wake sahihi. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni amesherehekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 29, amesema kama wao ndio wamemzaa basi umri wanaotaja […]

Read More..

Wastara Afungukia Ishu ya Kufumaniwa (Video...

Post Image

Msanii wa filamu Bongo, Wastara ameelezea kisa kizima cha video aliyosambaa katika mitandao ambayo imekuwa ikidaiwa kuwa msanii huyo alifumaniwa.

Read More..

Wema Sepetu Aibua Mtandao wa Diamond Unaomg...

Post Image

DIAMOND Platnumz bado moto. Anaendelea kutengeneza headline kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya Bongo. Magazeti, redio, televisheni na hata mitandao ya kijamii havina uwezo wa kumkwepa.   Anaandikika. Wakati juzi usiku akidondosha singo yake mpya inayokwenda kwa jina la Hallelujah ambayo amefanya kolabo na Morgan Heritage, kundi la Wajamaika walioshinda Tuzo ya […]

Read More..

Wema Sepetu Ainunua Instagram kwa Muda

Post Image

Mrembo Wema Sepetu siku ya jana ni kama alinunua mtandao wa Instagram kwa muda baada ya picha zake kutawala. Katika maadhimisho ya siku yake ya kuzaliwa, wasanii mbalimbali na watu wengine mashuhuri walipost picha ya mrembo huyo kumtakia kheri ya kuzaliwa hivyo kufanya mtandao mzima kutapakaa kwa picha zake. Moja ya watu maarufu waliomtakia kheri […]

Read More..

Kitanda Changu Ndani ya Kaburi la Kanumba!

Post Image

USIKU mtulivu. Kelele za mbu nje ya chandarua walionigasi kabla sijapitiwa na usingizi mnono, sizikumbuki na sasa niko kwenye ulimwengu mwingine kabisa. Niko dunia ambayo ni vigumu kuieleza, lakini ninachokumbuka ni kwamba pembeni yangu alikuwepo mtu ambaye ametuachia pengo kubwa kwenye tasnia ya filamu, Steven Charles Meshack Kusekwa Ngamba Kanumba ‘The Great Pioneer’. Amejiegemeza kwa […]

Read More..