Chuchu Hans Akanusha Kugombana na Johari Ki...

Staa wa Bongo Movies, Chuchu Hans amekanusha kugombana na Johari Chagula baada kuibuka madai kwenye mitandao ya kijamii kuwa wawili hao hawaelewani kisa Vicent Kigosi aka Ray. Chuchu aliyesema pia kuwa uhusiano wake na Ray hauna tatizo, amekiambia kipindi Take One cha Clouds TV Jumanne hii kuwa, hana tatizo na Johari na mara nyingi […]
Read More..