Naweza Kuuza Movie Zangu Bila Kumtegemea Mh...

Msanii wa filamu aliyetamba kwenye Bado Natafuta, Gabo Zigamba amesema filamu yake mpya ‘Safari ya Gwalu’ aliyoisambaza mwenyewe kupitia kampuni yake ya D Entertainment, imemfanya agundue kuwa kusambaza mwenyewe filamu kuna manufaa zaidi kuliko kupeleka kwenye makampuni binafsi ya usambazaji. Gabo ameiambia Bongo5 kuwa mpaka sasa tayari filamu yake imeshasambazwa Tanzania nzima na ameuza nakala […]
Read More..