-->

Category Archives: Other News

Unafahamu Unayoyapata Kwenye Pombe? Jua Cha...

Post Image

Kubwa na zuri la kwanza ni kuburudika na kufurahi. Hakuna maisha bila furaha. Dunia ni njema tukifurahi. Hata kwenye harusi ya Kana Yesu aligeuza maji mitungini ikafanywa wine safi na harusi ikanoga. Ila kuna yanayoletwa na pombe ingawa hatuyakusudii. Hatuyapendi pia. Kwenye kupunguza uzito hatukukatazi chochote. Tunakuelekeza na unaelewa unafanya maamuzi binafsi. Mimi nimefanikiwa kuondoa […]

Read More..

Picha: Polisi Wazima Ghasia Za Watu Waliobo...

Post Image

Jeshi la Polisi Jumatatu hii limezima ghasia za wananchi wenye hasira maeneo ya Kinondoni Mkwajuni jijini Dar es Salaam baada ya kupinga zoezi la bomoa bomoa kwa mara ya pili kufuatia kukataa kuondoka katika eneo hilo kwa madai hawana pa kwenda. Bi Fatuma akizungumza kwa uchungu Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii mmoja kati ya waathirika […]

Read More..

Punguza Uzito kwa Njia Iliyo Salama Zaidi

Post Image

Kupunguza uzito lazima  kuwe kwa afya kwa kuzingatia upunguaji salama kwa bidhaa zilizothibitishwa na zenye vibali. Wengi wamekuwa wakipumbazwa na urahisi wa bei matokeo yake wamejikuta wakiishia kupata madhara makubwa ya kudumu ikiwamo ugumba, kansa na hata kupoteza maisha. Mara nyingi bidhaa hizi za hatari huuzwa kwa kificho kificho na wauzaji wake hawajui hata mchanganyiko […]

Read More..

Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia Bomo...

Post Image

Mahakama kuu kitengo cha ardhi imezuia bomoabomoa ya Nyumba za wananchi bonde la mto Msimbazi hadi kesi ya msingi ikamilike Jan,11 mwaka huu. Hukumu hiyo inafuatia shauri lililofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia, kufungua kesi katika Mahakama kuu ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba uliokuwa ukiendelea bila kutoa njia mbadala za makazi ya […]

Read More..

Mbu mwenyewe anaweza kuondoa malaria

Post Image

Mbu mwenyewe anaweza kuja ondoa  malaria. Je, ni kweli? Tafiti ndio zinasema, endelea hapa chini Kila mwaka, watu bilioni 3.2 wako katika hatari ya kuamukizwa malaria kutoka kwa mbu walioambukizwa na vijidudu vinavyosababishwa malaria. Lakini labda si kwa muda mrefu tukajasikia malaria imefutika kabisa. Sio ajabu tukasikia mtu anasema hii itakuwa  ni uongo,ndoto au haitawezekani […]

Read More..

Waziri Mkuu, Majaliwa Aitisha Kikao na Bara...

Post Image

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015.

Read More..