Hivi Ndivyo Staa Diamond Akiwa na Mama Tiff...

MAISHA YA KISTAA: Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum amesherekea siku ya Boxing Day kwa kupunga upepo baharini akiwa na mama mtoto wake, Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ pamoja na dada zake , Esma Platinum na Queen Darleen. Vilevile meneja wa diamond Sallam na staa mkongwe AY walikuwepo kwenye boti ambayo Diamond aliltumia kumpeleka […]
Read More..