Wema ampa wakati mgumu Kadinda

Mbunifu wa mavazi maarufu hapa bongo Martin Kadinda ambaye pia ni meneja wa msanii Wema Sepetu, amesema anapata wakati mgumu kumsimamia msanii huyo mkubwa na mrembo, kutokana na tabia zake zisizobadilika, ikiwemo kutokuwa kimawazo. Martin Kadinda ameyasema hayo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba licha ya Wema Sepetu kuwa mtu […]
Read More..