Majonzi kwa Yanga na wadau wa soka kifo cha...
Dodoma. Tanzia tanzia.. Ni majonzi kwa wadau wa soka Tanzania kufuatia kifo cha shabiki maarufu Yanga, Ally Yanga kilichotokea mchana wa leo mkoani Dodoma wakati akiwa kwenye mbio za mwenge wa Uhuru. Taarifa za awali zinasema shabiki huyo amefikwa na umauti katika kijiji cha Chipogolo kilichopo wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma njia ya kwenda mkoani Iringa […]
Read More..