-->

Category Archives: Other Celebs

singers

Rose Muhando Afungukia Kimya Chake na Tuhum...

Post Image

Muimbaji mashughuli wa nyimbo za injili hapa nchini,Rose Muhando amevunja ukimya na kufuka juu ya ukimya wake na tuhuma za kutumia madawa ya kulevya ‘Unga’. Akiongea na gazeti la mwanaspoti hivi karibuni, Rose anasema, amekuwa kimya kwa sababu mbalimbali lakini anawaambia mashabiki wake yupo na anafanya maandalizi mengine: “Nipo hata hivyo kuna kazi nyingine nimeandaa […]

Read More..

Gigy Money Afungukia Swala la Ukimwi

Post Image

Video queen matata ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha redio moja jijini hapa, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ametema cheche akisema kuwa, watu wote wanaomsema kwamba kutokana na kuvaa nusu utupu na kujiachia na midume mbalimbali huenda ana maambukizi ya virusi vya Ukimwi, waache kwani kama ni kweli basi wengi wangekufa kwa sababu ameshatembea na […]

Read More..

Inasikitisha Sana, Tazama Nando wa Big Brot...

Post Image

HALI ya kiafya ya mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Big Brother Afrika, 2013 nchini Afrika Kusini,  Ammy Nando inasikitisha ambapo inadaiwa kuwa amedhoofika sana kwa sababu ya matumizi ya madawa ya kulevya. Picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni (picha ya juu kulia), zinamuonesha kijana huyo akiwa amedhoofika sana mwili wake, tofauti kabisa na jinsi afya yake […]

Read More..

Kadinda Akanusha Kugombana na Wema

Post Image

MBUNIFU wa mavazi nchini, Martin Kadinda, amesema hana ugomvi wowote na nyota wa filamu, Wema Sepetu, kama watu wanavyodai. Akizungumza na MTANZANIA jana, Kadinda alisema watu wamezoea kukaa na kutengeneza mambo ambayo hayapo, yeye ni meneja wa Wema na ataendelea kufanya naye kazi kama kawaida. “Watu wamezoea kuzusha kila kukicha, kwa upande wangu sijawahi kugombana […]

Read More..

Pichaz: Zari The Boss Lady Afanya ‘Ba...

Post Image

Siku zinayoyoma na mwezi ujao panapo majaliwa, Zari atajifungua mtoto wake wa pili na Diamond. Huyo atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla. Katika kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, staa huyo wa Uganda amefanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.

Read More..

Calisah: Kama Sio Mimi ni Wema Aliyevujisha...

Post Image

Sinema ya model Calisah imezidi kushika kasi – amefunguka kwa kudai kuwa ni yeye au Wema Sepetu ndio waliovujisha video inaowaonesha wakilana denda. Siku chache zilizopita mwanamitindo huyo wa kiume alikamatwa na polisi kwa kosa la kudaiwa kusambaza kipande hicho cha video lakini baadae aliachiwa. Akiongea na kipindi cha Campus Vibes cha Times FM, Calisah […]

Read More..

Picha: EATV Awards Yafanya Semina na Wasani...

Post Image

Tuzo za EATV Awards 2016 Jumatano hii imefanya semina maalumu na wasanii wanaowania tuzo kutoka katika vipengele mbalimbali vya tuzo hizo ambazo kilele chake kinatarajiwa kuwa Desemba 10 mwaka huu. Msanii wa filamu Gabo akiuliza jambo Semina hiyo ilihusisha viongozi wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA), waandaaji wa tuzo hizo (EATV) pamoja na nominees kutoka […]

Read More..

Pichaz: Vera Sidika Aonyesha Mjengo na Gari...

Post Image

Mrembo maarufu wa Kenya, Vera Sidika ameonyesha kuwa na yeye ni miongoni mwa mastaa wanaomiliki vitu vya thamani. Kupitia mtandao wa Instagram, Vera ameuonyesha mjengo wa kifahari anaoumiliki pamoja na gari aina ya Range Rover na kuwaacha mashabiki mdomo wazi. “I still remember the days I prayed for the things I have now. Just believe […]

Read More..

Jahazi Limevunjwa na Mungu – Khadija Yusuph

Post Image

Msanii wa taarabu nchini Khadija Yusuph amesema hakuna tena kundi la Jahazi Morden Taarabu kwa sasa na tayari wamegawana vitu vilivyokuwa ndani ya kundi hilo na yeye kwa sasa yupo kwa Thabit Abdul. Akiongea ndani ya eNews Khadija amesema Jahazi limevunjwa na Mwenyezi Mungu kwa kuwa Mzee Yusuph wakati anaacha muziki alisema hata vunja kundi hilo […]

Read More..

Wema Anaangushwa na Marafiki Zake – Kadinda

Post Image

Mbunifu wa mavazi kutoka Bongo, Martini Kadinda amesema hawezi kumchagulia Wema Sepetu marafiki wa kuwa nao karibu na hawezi kujiingiza kwa lolote katika ugomvi wao. Akipiga story ndani ya eNewz, Kadinda amesema ugomvi ambao unatokana na marafiki zake Wema unamshusha Wema kwa kuwa Wema ni mtu maarufu na ana jina kubwa hivyo alichokifanya ni kumzuia Wema kuweka ugomvi […]

Read More..

Amber Lulu: Sijiachii Mtandaoni Ili Nitaman...

Post Image

MWANAMITINDO ambaye pia ni muuza nyago kwenye video za Kibongo, Lulu Auggen ‘Amber Lulu’ ameweka wazi juu ya picha anazoposti kwenye mitandao ya kijamii zinazomuonesha akiwa nusu utupu kuwa haweki hivyo kutamanisha wanaume. Akizungumza na Global TV Online kupitia kipindi cha Exclusive Interview mchana wa leo, Amber ambaye ametokea kwenye video kibao za Kibongo ikiwemo […]

Read More..

Mimi Sio Meneja wa Wema Sepetu – Martin K...

Post Image

Aliyekuwa meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na malkia huyo wa filamu baada ya wawili hao kutokuwa karibu zaidi kama zamani. Mbunifu huyo wa mavazi ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa yeye na Wema Sepetu ni kama kaka na dada na sio meneja wake tena. “Mimi kum-meneji Wema nimemaliza kama miaka […]

Read More..

Miss Tanzania Alia Kutelekezwa na Kamati

Post Image

Miss Tanzania 2016 Diana Edward ambaye ndiye mrembo anayetarajiwa kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo ya dunia ‘Miss World’, ameilalamikia kamati ya mashindano hayo kwa kumtelekeza. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diana ambaye kwa sasa anatakiwa awe kwenye maandalizi ya mashindano ya Miss World, amesem abado hajapata msaada wowote kutoka katika Kamati ya […]

Read More..

Mpenzi Mpya wa Wema Afungukia Alichokipata ...

Post Image

Model Calisah ambaye anadaiwa kutoka kimapenzi na Wema Sepetu amesema hajawahi kutukanwa kama alivyotukanwa na watu katika mitandaoya kijamii baada ya kudai kuwa hamjui aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan. Calisah wiki tatu zilizopita alidai hamjui Idris Sultan kwa kuwa sio mtu wa kufuatilia maisha ya watu […]

Read More..

Faraja Nyalandu Amkingia Kifua Miss Tanzani...

Post Image

Aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Nyalandu amemkingia kifua mshindi wa mwaka huu Diana Edward akisema hata yeye aliposhinda alizushiwa mambo mengi, lakini anashukuru kwa kuwa yalimjenga. Katika waraka wake wenye maneno 223 aliouweka kwenye mtandao wa Instagram, mrembo huyo alisema alikaribishwa katika dunia ya umaarufu kwa kashfa lakini kwa msaada wazazi wake alifanikiwa kusimamia malengo […]

Read More..

Ujumbe wa Francis Cheka Baada ya Taarifa za...

Post Image

Wiki hii imeanza kwa huzuni kwa mashabiki wa mchezo wa ngumi nchini baada ya kifo cha bondia Thomas Mashali hasa baada ya kusikia taarifa za chanzo cha kifo hicho. Mmoja wa watu walioumizwa na taarifa hizo ni Francis Cheka. Kupitia mtandao wa Instagram, Cheka ameandika: Ilikuwa ni heshima kuingia ulingo mmoja na wewe ndugu yangu […]

Read More..

Wema Sepetu Amuandikia Ujumbe Miss Tanzania...

Post Image

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amedai mshindi wa shindano la Miss Tanzania 2016, Diana Edward alistahili kuchukua taji hilo. Kupitia Instagram, Wema ameandika: When You Nailed that question Properly, I knew that The Crown was Yours…. Congratulations mdogo wangu… You deserve it… And I have a very good feeling about Your performance in the Miss […]

Read More..

Baba Mashali Asimulia Mazito Kifo cha Mwana...

Post Image

BABA mzazi wa aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa, Thomas Mashali ‘Simba asiyefugika’, Malifedha Christopher Mashali amesimulia namna alivyoguswa na kifo cha mwanaye huyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo Kimara jijini Dar. Akizungumza na mtandao huu, nyumbani kwake Tandale kwa Mtogole jijini Dar, mzee Mashali alisema taarifa za kifo cha mwanaye alizipata leo alfajiri kupitia […]

Read More..