Vincent Kigosi (Ray) ndani ya “BEST M...

Msanii maarufu wa Filamu kutoka Tanzania ( Industry ya Bongo Movies) Ndg. Vincent Kigosi aka ” Ray ” leo ameandika kwenye ukurassa wake wa Instagram “ VOTE FOR ME AS BEST MALE MOVIE STAR ” . Hii ikiimanisha kuwa kwa upande wa wasanii wa filamu wa kiume jina lake limeingia kwenye orodha ya wasanii 14 […]
Read More..