-->

Category Archives: Artists News

“Usimkataze msanii kuimba kibamia, jamii ...

Post Image

Kupitia ukurasa wa instagram wa msanii Nikki wa Pili ambaye ni moja kati ya wasanii wa Hiphop wanaounda Kundi la Weusi, amepost maoni yake kuhusu suala la maadili kwa wasanii, ambalo limeanza kufanyiwa kazi na Naibu Waziri wa wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kwa kufungia baadhi ya kazi zilizokosa maadili.. Niki wa pili alizungumza kwa mtazamo […]

Read More..

Erick Omondi na Unanitekerenya Ukinyonga -T...

Post Image

Mchekeshaji wa Afrika Mashariki , Erick Omondi kutoka Kenya, leo January 16 katuletea  “COVER” ya nyimbo za Mkali wa bongoflava,THE BOY FROM TANDALE ambaye sio mwingine bali ni Diamond Platinum (Chief Dangote). Msanii huyu amekuwa akiziigiza nyimbo nyingi sana za wasanii akiwemo Diamond, Alikiba na wengineo wengi. Ukitakia kufaidi uondo zaidi wa Video yake hii aliyoitoa […]

Read More..

Joketi Awapa Neno Hili Vijana “Sio La...

Post Image

MODEL maarufu wa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka na kutoa nasaha kwa vijana huku akiwataka kujishughulisha kwa bidii ili kufikia malengo yao huku akibainisha kuwa sio lazima mtu awe amesoma sana (elimu ya ju) ndiyo anaweza kufanikiwa. Jokate ambaye alikuwa miongoni mwa mastaa waliohudhuria katika harusi ya Shilole na Uchebe iliyofanyika usiku wa kuamkia jana, […]

Read More..

Dudu Baya Aachana na Pombe Aamua Kumrudia M...

Post Image

MKONGWE wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya ambaye haishiwi vituko, amekuja na hii mpya baada ya kula kiapo chake cha mwaka 2018 kwamba ameacha kunywa pombe. Mkali huyo wa tangu kitambo, amesema mwaka 2017 pombe zilimfanya akose muda wa ibada lakini mwaka huu ameamua kuachana na pombe ili apate muda wa kumtumikia Mungu

Read More..

Mohammed Dewji kwenye orodha ya Mabillionai...

Post Image

Orodha ya Mabillionaire Africa, 2018 Wako wanawake wawili katika matajiri 21 wanaongoza kwa utajiri Africa. Katika orodha ya matajiri 21, Mtanzania Dewji yuko  kwenye nafasi ya 17.  Dangote akishika nafasi ya kwanza. Dangote anaongoza kwa  $12.2 B. Aliko Dangote   Mtanzania pekee kwenye orodha hiyo ni  Mohammed Dewji na utajiri wake unakadiriwa kuwa dola $1.5 […]

Read More..

Diamond platnumz afikiria kununua nyumba mp...

Post Image

Bongofleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa ambao wameahidi mwaka 2018 tutarajie vitu vingi kutoka kwao, Diamond akiwa ameanza na kutuonyesha headquarters mpya za WCB . Ukitaja  nyumba anazomiliki Diamond Platnumz kiukwelihuwezi kuacha kutaja nyumba yake ya Afrika Kusini na Tanzania lakini inatajwa kuwa ana nyumba raidi ya moja na kwa sasa anafikiria kununua nyumba nyingine Kigali Rwanda. kupitia […]

Read More..

VIDEO MPYA; Yemi Alade – Go Down (Off...

Post Image

Msaani wa Nigeria katuletea nyimbo mpya ya kuburudisha. Yemi Eberechi Alade,anajulikana kwa majina Yemi Alade, ni mwanamziki wa nigeria Afropop .alishinda tunzo ya Peak Talent Show mwaka 2009, na anajulikana kwa nyimbo yake maarufu ya  “Johnny”. click play utazame video mpya:

Read More..

Monalisa Awapa Neno Wanaomtolea Maneno Mach...

Post Image

MUIGIZAJI asiyechuja kutoka Bongo movie Yvonne Cherryl ‘Monalisa’ anasema kuwa anakutana na changamoto ya kutusiwa na hata watu ambao hawamjui wala yeye pia hana mahusiano nao awali ilikuwa ikimsumbua lakini kwa sasa anaamini kuwa watu wa namna hiyo si wa kuwalaumu inawezekana wana msongo wa mawazo. “Kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kuwakwaza wenzao kuna […]

Read More..

VideoMPYA: Country Boy na Moni wametuletea ...

Post Image

Karibu Bongoflevani…. karibu kuitazama nyingine mpya kutoka kwenye umoja wa MoCo unaoundwa na Moni Centrozone na Country Boy…. CHEKI FULL VIDEO: HARUSI YA SHILOLE

Read More..

Baiskeli yenye kujiendesha yenyewe imetenge...

Post Image

Baiskeli mpya ya kisasa,imetengenezwa na GOOGLE. Ina uwezo wa kwenda yenyewe(self-driving bike)…ukitaka inakufata popote ulipo….unaweza ukafanya kazi ukiwa katika baiskeli hii…ni salama hata kwa watoto na wasiojua kuendesha…hii ndio teknolojia!!!   Click PLAY kutazama video yenye kuonyesha technologia hii

Read More..

Wanigeria wamvimbia Diamond Platnumz kisa t...

Post Image

Baada ya msanii wa muziki Diamond Platnumz kutoka Tanzania, kuibuka msindi wa tuzo ya muziki ya Soundcity MVP Awards 2017, kupitia kupengere cha ‘Best Male MVP’ wadau na mashabiki wa muziki nchini Nigeria wameonyesha kutofurahishwa na ushindi huo. Katika kipengere hicho alichoshinda Diamond, alikuwa akichuana na wasanii kama Runtown, Davido, Olamide, 2face Idibia, Wizkid, Shatta […]

Read More..

“Lau Nafasi” ni VideoMpya kutok...

Post Image

Video Mpya ya 2018 kutoka kwa mkali wa Kisingeli Man Fongo ambaye leo January 13, 2018 kaamua kuachia video yake mpya ijulikanayo kwa jina la “Lau Nafasi” .Bofya hapa chini kuitazama vidoe yake. Una comments zozote kama mshabiki wake? Uwanja ni wa kwako.

Read More..

Baada ya siku 61 za Lulu gerezani Idriss Su...

Post Image

Kupitia instagram page ya Idris Sultan ameandika ujumbe ambao umewakumbusha wengi tukio la Elizabeth Michael “Lulu” kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake marehemu Steven Kanumba. Idris Sultan na Elizabeth Michael wamefanya kazi pamoja katika tamthilia ya SARAFU na moja kati ya kipande katika tamthilia […]

Read More..

Muna Afunguka Kuhusu Tatoo Yake na Ulokole

Post Image

MSANII wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna’ amefunguka kuwa, watu wengi wanamsema vibaya kutokana na ‘tatuu’ zake alizozichora mwilini kuwa haziendani na ulokole, jambo ambalo linamshangaza sana. Akizungumza na Risasi Jumamosi Muna alisema, siku zote mtu anapoamua kurudi kwa muumba wake haangalii makosa ambayo ameyatenda nyuma, anachofanya ni kumpokea na kumsamehe kila kitu. “Sidhani kama […]

Read More..

Aika na Nahreel Waachia Sura ya Mtoto Wao

Post Image

Baada ya Familia ya Noel Mkono maarufu kama Aika na Nahreel kubahatika kupata mtoto mwishoni mwa mwaka jana hawakuwahi kupost picha yoyote ya mtoto wao inayoonesha sura yake mpaka siku ya leo January 12, 2018 ambapo kupitia ukurasa wa Instagram wa Nahreel na Navykenzo wameweka picha ya mtoto wao na kuonesha Sura yake. Mtoto wa […]

Read More..

Wema Sepetu Akana Penzi la Mahombi Asema ni...

Post Image

STAA mwenye nyota kali Bongo, Wema Sepetu amefungukia madai ya kubanjuka kimapenzi na mwanamuziki mwenye asili ya Congo, Mohombi Nzasi Moupondo na kusema kuwa ni shemeji yake na si vinginevyo. Akizungumza na Risasi Jumamosi Wema alisema kuwa, watu waache kutabiri vitu bila kujua ukweli wenyewe, kwani alipiga picha na mwanamuziki huyo kama shemeji yake kwa […]

Read More..

Harmorapa Hajapokea Pesa Yoyote Katika Dili...

Post Image

Msanii wa Bongo Flava, Harmorapa amedai kuwa hajapokea pesa yoyote katika dili la kinywaji cha Swala tokea alipotangazwa Machi 26 mwaka 2017 kuwa balozi wa kinywaji hicho. Akiongea na Bongo5, mkali huyo ameeleza kuwa hata yeye amesikia tetesi tu kuwa alilipwa milioni 100 licha ya kuwa hajapokea pesa hizo. “Kwanza nizungumzia Kenya au sio, kwanza […]

Read More..

Lava Lava: Nipo Single Mwanamke Mzuri Ajito...

Post Image

Msanii kutokea kundi la WCB Lavalava  alipoulizwa kama ana mpenzi na kwa nini hajawahi kumuweka hadharani haya yalikuwa majibu yake, “hilo swali ninaulizwa mara sabini na watu jamani kama kuna mwanamke mzuri ananiona aje mimi nipo single sina wakumtangaza” Pamoja na hayo amezungumzia masuala ya upendeleo yanayodaiwa kuwepo katika record label ya WCB ambapo majibu […]

Read More..