Joh Makini Afunguka Uhusiano Wake wa Kimape...

Mwamba wa Kaskazini anayesumbua masikio ya wapenda burudani na ngoma ya ‘Mipaka’ Joh Makini amepangua tetesi za kujihusisha kimapenzi na mwanamuziki Mimi Mars ambaye pia ni mdogo wake msanii Vanesa Mdee. Joh Makini amepangua tetesi hizo kwenye Friday Night Live ya EATV ambapo amesema kwamba tetesi hizo hazina ukweli wowote na kwamba yeye anamchukulia Mimi Mars […]
Read More..