-->

Category Archives: Artists News

Queen Darleen Afichua Kinachoibeba WCB

Post Image

MWANADADA pekee kutoka kundi la WCB, Mwajuma Abdul ‘Queen Darling’, amesema kundi hilo limekuwa likifanya vizuri kutokana na umoja na nidhamu waliyojiwekea. Akizungumza na MTANZANIA, Queen Darling ambaye ni dada wa kiongozi wa lebo hiyo ya Diamond Plutnumz, amesema wasanii wa kundi hilo kila mtu anaelewa dhumuni la kuwepo hapo na ndio maana hawajawahi kutetereka […]

Read More..

Mama Yake Dogo Janja Afungukia Ndoa ya Dogo...

Post Image

Mama mzazi wa msanii Dogo Janja Bi. Zaituni Omari, amesema habari za mtoto wake kuoa ni za kweli na yeye kama mzazi alimpa baraka zote, vinginevyo asingeweza kuoa. Mama yake Dogo Janja ameyasema hayo alipokuwa akiongea na mwandishi wa habari na kusema kwamba yeye kama mzazi ameridhika kwani pia ametimiza matakwa ya dini. “Alishawahi kuniambia […]

Read More..

Profesa Jay Aeleza Sababu za Ukimya

Post Image

BAADA ya mashabiki wake wengi kutaka kujua kwa nini yupo kimya kwenye anga la muziki, mkongwe Bongo Fleva ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Morogoro, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ameibuka na kuwaeleza kinachomsibu. Akipiga stori na baada ya kuulizwa sababu za kuwa kimya, Profesa Jay alisema bado anaweka mambo ya kifamilia sawa na […]

Read More..

Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe Afungukia Ishu...

Post Image

Waziri wa Habari,  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata mshahara wake kuhakikisha anawafunga watu hao. Mwakyembe amesema hayo leo Oktoba 27, 2017 alipokutana na wasanii mbalimbali kujadili changamoto za kazi ya sanaa nchini na kusema […]

Read More..

Huenda Alikiba Akatoa Ngoma Muda Wowote

Post Image

Msanii wa Bongo Flava, Alikiba huenda akatoa ngoma mpya muda wowote. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma Seduce Me katika ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ameandika ujumbe ambao kwa kiasi fulani unahashiria ujio wa ngoma mpya. Ujumbe huo ambao ulilenga kumpongeza msanii mwenzake, Abby Skillz kwa kufunga ndoa uliishia kwa kudokeza […]

Read More..

Mh. Temba Atoboa Siri ya Kuvunjika kwa Yamo...

Post Image

Msanii kutoka TMK Mh. Temba ambaye sasa hivi anaisimamia kituo cha Mkubwa na wanawe, kwa mara ya kwanza ameweka wazi sababu za ‘Yamoto Band’ kusamabaratika, baada ya kukanushwa mara nyingi na wenyewe kwa muda mrefu wakisema haijavunjika. Akipiga stori kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Mheshimiwa Temba amesema majungu yaliyopikwa na watu wa nje […]

Read More..

Petit Man Alia na Waliovujisha Picha Zake z...

Post Image

SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa picha mitandaoni zikimuonyesha mwanamitindo huyo akiwa katika pozi za mahaba na mdau wa muziki, Petitman Wakuache. Baada ya kuziona picha hizo Petit ameibuka na kutoa kauli nzito. PETITMAN ANENA! Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Petit alipost picha akiwa na mke wake Esma ambaye ni wifi […]

Read More..

Wolper Afunguka Kumtolea Mahari Mchumba Wak...

Post Image

Msanii wa filamu bongo mwenye mvuto wa kipekee Jacline Wolper, amefunguka kuhusu suala la kumtolea mahari mchumba wake ambaye yuko naye kwa sasa, na kusema kwamba si kweli kama anataka kumtolea mahari huku akigusia harusi yao. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wolper amesema habari hizo hazina ukweli wowote kwani sio suala la mahari […]

Read More..

Magazeti ya Leo September 6

Post Image

  Chanzo: millardayo.com

Read More..

Soma Magazeti ya Leo September, 4

Post Image

  Chanzo:millardayo.com

Read More..

Wakunizima Hajazaliwa -Wema Sepetu

Post Image

Malkia wa filamu Bongo , Wema Abraham Sepetu ametupa jiwe gizani ambalo bado halijajulikana ni kwenda kwa mtu gani na kumwambia bado wa kumshusha hajazaliwa kwani yeye alivyo ni majaaliwa kutoka kwa maulana na siyo kujitakia. Wema ametupa jiwe hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kusema kuna mtu kamuharibia siku hivyo na kumwambia kwamba […]

Read More..

Goodluck Gosbert Anazidi Kupasua Anga

Post Image

Jina la nyota wa muziki wa Injili Nchini Goodluck Gozebert maarufu kama ‘Lollipop’ sio geni masikioni mwa wengi hasa kutokana na aina ya muziki anaoufanya. Kwa namna moja au nyingine, amechangia kwa kiasi kikubwa kubadili mahadhi ya muziki wa Injili nchini toka ule uliokuwa umezoeleka zamani na kuwa wa kizazi kipya yaani ‘Bongo Gospo’. Ukarimu, […]

Read More..

Ben Selongo Aikacha Bongo Movie?

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu za vichekesho nchini, Ben Branco Selengo amefunguka na kusema sasa ameamua kuimba muziki wa singeli huku akiwataka wakali wa singeli kujipanga kwani amekuja kuchukua pesa zilizopo kwenye muziki wa singeli. Ben anasema kwenye filamu hakuna msanii ambaye anaweza kuchukua nafasi yake hivyo ameamua kwenda kwenye muziki kutafuta mkwanja huku akidai kuwa […]

Read More..

RC Makonda kasitisha bomoabomoa ya zaidi ya...

Post Image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo August 30, 2017 ametembelea Bonde la Mto Msimbazi lililopo katika Wilaya ya Kinondoni ambako wananchi walitangaziwa kuwa nyumba zao zaidi ya 17,000 zitabomolewa. RC Makonda amewaondoa hofu wananchi ambao walikuwa na hofu ya kubomolewa akisema kuwa hakuna atakayefanya hivyo kwa kuwa hawakufuata utaratibu na kuagiza […]

Read More..

Magazeti ya leo Jumanne August 29, 2017

Post Image

Chanzo Millardayo.com

Read More..

Kwa Nini Wema Sepetu Anatusua?

Post Image

Mama yake mzazi afunguka siri nzito Na KYALAA SEHEYE Unakumbuka Top 5 ya Miss Tanzania mwaka 2006? Kama kumbukumbu zimeondoka nitakukumbusha. Walikuwa ni Irene Uwoya, Wema Sepetu, Sarah Kangezi, Jokate Mwegelo na Lisa Jensen. Miss Tanzania iliyofunika pengine kuliko mwaka wowote tangu kuanzishwa kwa mashindano hayo. Wakati walimbwende hao wakipanda jukwaani haikuwa rahisi kumbashiri mshindi. […]

Read More..

Magazeti ya Leo Jumamosi, August 26

Post Image

    Chanzo: Millardayo.com

Read More..

Soma Hapa Magazeti ya Leo August 24

Post Image

  Chanzo:millardayo.com

Read More..